Moreen, dawa yako iko jikoni inachemka

Moreen, dawa yako iko jikoni inachemka

Mwanamke asiekupenda hata umfanyie tukio gan hata haimuumi.zaid unazid poteza mda ku deal nae

Tuliofanikiwa kujua code za wanawake tunaish kwa raha sana
 
Mwanamke asiekupenda hata umfanyie tukio gan hata haimuumi.zaid unazid poteza mda ku deal nae

Tuliofanikiwa kujua code za wanawake tunaish kwa raha sana
Tuambizane hizo code mkuu
 
Nje anafuata kile ambacho ww huumpi mkuu,kwani huwa unaenda kwa mpalange?
 
Nilivoanzisha mahusiano na wewe nilikupenda Sana.
Nilikuona ni mwanamke uliejielewa kumbe ulikua unapretend .

Hivi kweli wewe Ni wa kunivungia kiasi hiki mpaka unaniambia unajiskia kichefuchefu nikikukumbatia! Eti kisa spray yangu inanunikia vibaya! Mbona haikua hivyo mwanzo?.

Hata kiss imekua Kama almasi!!!! Pumbavu sana.

Imekua kila ninachokwambia unajibu "NO" Tena bila maelezo yoyote.

Ni Mara ngapi nakusaidia wewe?.

Saiv unavunga ubabe au kisa unatoka mbeya! Ni vile tu siwezi kuitumia karate yangu kumpiga mwanamke ila ningekufua.

Nimekuandalia tukio litakalokuliza siku nzima make dawa ya mwanamke Ni mwanamke .

Wakuu mnisamehe Sana make ndo nimegundua mwanamke hapendwi.





Mara


Sent using Jamii Forums mobile app
Failure at work
 
Back
Top Bottom