kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
- Thread starter
- #161
Kwa zile sifa nilizokua nazisikia + huyu mwenzenu sijui mtajitetea vipi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa zile sifa nilizokua nazisikia + huyu mwenzenu sijui mtajitetea vipi.
[emoji3][emoji3] hakuna Cha bure mjini au sio.Mkuu so tunaongelea kukusaidia?? Au wewe ulidhani ni bure mkuu?? Kuwa mkweli na muwazi tu hahahahaahahah
Sifa gani hizo mkuu?Kwa zile sifa nilizokua nazisikia + huyu mwenzenu sijui mtajitetea vipi.
Ubabe, kiburi, kuringia shepu, Uma***a.
Zote hizo si za kweliUbabe, kiburi, kuringia shepu, Uma***a.
Nyingine wakuu wataongeza.
[emoji3] nimeprove zote.
[emoji3][emoji3]Mapenzi huwa ni upumbavu [emoji3]
Akili huwekwa kando hisia hutawala
Kwa huyo wa kwako[emoji3] nimeprove zote.
Tuambizane hizo code mkuuMwanamke asiekupenda hata umfanyie tukio gan hata haimuumi.zaid unazid poteza mda ku deal nae
Tuliofanikiwa kujua code za wanawake tunaish kwa raha sana
Hapa sasa tupo pamoja mkuu[emoji3][emoji3] hakuna Cha bure mjini au sio.
Jamaa angu alikuwa na mwanamke wa mbeya
Kwa Nini mkuuFake id
Hiyo ni tabia ya mtuJamaa angu alikuwa na mwanamke wa mbeya
Yeye alitukaniwa mpaka Mama.
[emoji3] naogopa kuikosa mbingu mkuuNje anafuata kile ambacho ww huumpi mkuu,kwani huwa unaenda kwa mpalange?
Kuna watu wanawaharibia
Failure at workNilivoanzisha mahusiano na wewe nilikupenda Sana.
Nilikuona ni mwanamke uliejielewa kumbe ulikua unapretend .
Hivi kweli wewe Ni wa kunivungia kiasi hiki mpaka unaniambia unajiskia kichefuchefu nikikukumbatia! Eti kisa spray yangu inanunikia vibaya! Mbona haikua hivyo mwanzo?.
Hata kiss imekua Kama almasi!!!! Pumbavu sana.
Imekua kila ninachokwambia unajibu "NO" Tena bila maelezo yoyote.
Ni Mara ngapi nakusaidia wewe?.
Saiv unavunga ubabe au kisa unatoka mbeya! Ni vile tu siwezi kuitumia karate yangu kumpiga mwanamke ila ningekufua.
Nimekuandalia tukio litakalokuliza siku nzima make dawa ya mwanamke Ni mwanamke .
Wakuu mnisamehe Sana make ndo nimegundua mwanamke hapendwi.
Mara
Sent using Jamii Forums mobile app