Morison amshauri Haji Manara kuacha tabia za kike

As far as I know, Morrison ndo mchezaji wa kwanza Tanzania "kununua ugomvi" wa mahasimu!!! Hii ni mara ya pili Morrison anamjibu Manara!! Cha kushangaza, Manara huwa anatumia Kiswahili! Sasa ni kwamba Morrison huwa anatumia Google kujua Manara ameandika nini ili hatimae aweze kumjibu, au anatumika?!

Kama Morrison ana Wakala, na anamwacha anafanya ujinga kama huu, basi Morrison na Wakala wake wote wajinga, kwa sababu yeye ni Foreigner tu, na amekuja Tanzania kufanya kazi, kwahiyo ni ujinga kama sio upumbavu kujiingiza kwenye Siasa za Mpira wa Tanzania.
 
MR PROPAGANDA BADO ANAWAKERA MIIKIA FC MNAANZA KUSEMA ANA TABIA ZA KIKE?😂😂😂 MAISHA HAYA BILA UNAFIKI HAYAENDI, KIPINDI YUPO SIMBA AKIPIGA DONGO 'MNAVOMSAPOTI' LEO ETI ANA TABIA ZA KIKE? TULIENI KUTESA KWA ZAMU

GO HAJI GO HAJI
 
wabongo bana,maneno meeeengi tantalila nyiiiiingi. Jibu hoja acha kutisha watu,
 
Ila Chama alikuwa sawa "kununua ugomvi" wa Haji Manara na Mo? tena nadhani alifanya vile kwakuwa alijua anasepa.Lakini hata kama alikuwa mbioni kusepa,kwa nini afanye vile?
 
wabongo bana,maneno meeeengi tantalila nyiiiiingi. Jibu hoja acha kutisha watu,
Hoja ipi?! Na hivi hapo nimemtisha au nimeeleza uhalisia kwamba kwa mtu kama yeye aliyekuja kutafuta inakuwa ni upumbavu kujiingiza kwenye mabifu yasiyomhusu?!
 
Ulishawahi kumuona Chama anaenda kwenye page ya Mwamedi kujibizana kuhusu Manara?! Ina maana hufahamu ambacho kilitokea, au?
Mkuu binafsi sifahamu lolote na ningependa kufahamu kilijiri nini?ikikupendeza funguka kwa faida yangu na wadau wenye interest
 
Ulishawahi kumuona Chama anaenda kwenye page ya Mwamedi kujibizana kuhusu Manara?! Ina maana hufahamu ambacho kilitokea, au?
jadili hoja sio mtu. umesajiliwa humu kama GT
 
Msimtishe Morrison, ana haki ya kutoa maoni yake kwenye kazi inayomhusu. Morrison anawajua wote Simba na Yanga so anaongea kitu anachokijua.
 
Mimi nasema Haji atabaki kuwa Haji sisi Hatumpaki Rangi kwamba a behave vipi sjui. Muache Haji awe hivyo hivyo. Umri huo sio wa kuanza kumuasa.
 
Ushauri mzuri,hakuna aijuaye kesho yake,haya maisha yanahitaji nidhamu ya hali ya juu.
 
Sijaona ubaya wa hiyo post ya Haji. Hajamsema mtu yeyote vibaya ila kamuongelea vema GSM,labda kama hampendi kuona GSM anaongelewa vema na Haji.
Mnamsifu Morrison kwa kuwashwa kwenu tu, maana hata yeye Morrison kachemka kumjibu hivyo Haji. Sio kwa post hii labda zingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…