Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Wapi aliposema aache Mambo ya kike?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi aliposema aache Mambo ya kike?
Kusema ni ujinga kujiingiza kwenye mabifu yasiyomhusu wakati yeye kaja kufanya kazi ndo kumtisha? Halafu acha viroja wewe! Yaani Morrison amekuja juzi tu hapa ndo tayari anaijua Simba na Yanga?!Msimtishe Morrison, ana haki ya kutoa maoni yake kwenye kazi inayomhusu. Morrison anawajua wote Simba na Yanga so anaongea kitu anachokijua.
Kuna hoja ipi kwa kulinganisha suala la Chama na Morrison?! Btw, mbona nawe nimekuuliza swali hapo juu na bado umeshindwa kujibu?jadili hoja sio mtu. umesajiliwa humu kama GT
You nail it well broAs far as I know, Morrison ndo mchezaji wa kwanza Tanzania "kununua ugomvi" wa mahasimu!!! Hii ni mara ya pili Morrison anamjibu Manara!! Cha kushangaza, Manara huwa anatumia Kiswahili! Sasa ni kwamba Morrison huwa anatumia Google kujua Manara ameandika nini ili hatimae aweze kumjibu, au anatumika?!
Kama Morrison ana Wakala, na anamwacha anafanya ujinga kama huu, basi Morrison na Wakala wake wote wajinga, kwa sababu yeye ni Foreigner tu, na amekuja Tanzania kufanya kazi, kwahiyo ni ujinga kama sio upumbavu kujiingiza kwenye Siasa za Mpira wa Tanzania.
BM hajazungumzia Simba na Yanga,amezingumzia use of common sense. Halafu nadhani Simba ilishatoka kwenye huo ujinga,ndio maana hata Haji alifukuzwa kwa sababu ya ujinga ujingaKusema ni ujinga kujiingiza kwenye mabifu yasiyomhusu wakati yeye kaja kufanya kazi ndo kumtisha? Halafu acha viroja wewe! Yaani Morrison amekuja juzi tu hapa ndo tayari anaijua Simba na Yanga?!
Kuna siku Chama alikuwa kwenye InstaLive! Sina uhakika kama unafahamu what's InstaLive, lakini kwa kifupi, InstaLive watu wanatumia kwa namna mbalimbali, including kuwasiliana na Followers wao through Live Video, na Followers wanaweza kuuliza maswali LIVE.Mkuu binafsi sifahamu lolote na ningependa kufahamu kilijiri nini?ikikupendeza funguka kwa faida yangu na wadau wenye interest
Hii vita ya maneno Morrison bora akae kimya, Manara huyu domo chafu mpayukaji atayasema yake ambayo hatukuwa hatuyajui, halafu Morrison nae anatakiwa ajiweke kiproffesional zaidi huu uswahili amauachie Manara na wachezaji wa kibongo
Leo ni mara ya pili kwa Morrison kwenda ku-argue kwenye page ya Manara!! Endeleeni tu kutetea ujinga wa Morrison lakini hii si kawaida!!! Na ningependa kurudia kwamba, Morrison kaja Tanzania kufanya kazi, kwahiyo ni ujinga kutaka kujiingiza kwenye siasa za mpira wa Tanzania!BM hajazungumzia Simba na Yanga,amezingumzia use of common sense. Halafu nadhani Simba ilishatoka kwenye huo ujinga,ndio maana hata Haji alifukuzwa kwa sababu ya ujinga ujinga
Akili za Manara anazielekeza pale penye siagi ya mkate wakeKuna muda Morrison anakuwaga na akili Sana
Lakini Manara ni miongoni mwa watu wachache wasiokuwa na akili hata kwa kusingiziwa
Nafkri manara ndo mtu wa hovyo kuwahi kumfahamuKuna muda Morrison anakuwaga na akili Sana
Lakini Manara ni miongoni mwa watu wachache wasiokuwa na akili hata kwa kusingiziwa
Unaweza kumshauri tu bro,hapa duniani tunashauriana. Wewe mama yako akidakwa ugoni hawezi kukushauri kuhusu kuheshimu ndoa? Huyu atakuwa utopolo huyuVipi yeye alipovua nguo?
Alitumia common sense?
wewe pia na huyo mwehu mlitakiwa kupewa ushauri..Tunakubaliana Manara kapewa ushauri mzuri ambao kila mtu mwenye akili timamu angeshauri hivyo. Ila tatizo eti kwa nini ushauri utolewe na Morison..Haaa haaaa
Bora hata mimi kuliko wewe ambaye ulijambwa nyuma unadhani mama yako atakushauri nini, ikiwa sio mtoto wa halali mjomba?.Unaweza kumshauri tu bro,hapa duniani tunashauriana. Wewe mama yako akidakwa ugoni hawezi kukushauri kuhusu kuheshimu ndoa? Huyu atakuwa utopolo huyu
tumeshamshauri bro. Usihamishe magoli mkuu. ukizidiwa kausha tu.wewe pia na huyo mwehu mlitakiwa kupewa ushauri..
Uache kuwaweka matajiri kwenye avatar yako, huko ni kujipendekeza.. 😁
mijitu akili mavi kama wewe huna uwezo wa ku argue kwa hoja na mimi. huna akili hizo bro,labda nikupige mashine nikuambukize akili 😂😂😂😂Bora hata mimi kuliko wewe ambaye ulijambwa nyuma unadhani mama yako atakushauri nini, ikiwa sio mtoto wa halali mjomba?.
😁😁😁
nimekupa za usotumeshamshauri bro. Usihamishe magoli mkuu. ukizidiwa kausha tu.
naona ukikenua kujichekesha. yaani unaona mimi kuweka avatar ni hoja. huu utumbo unawezaje kuwaza?nimekupa za uso
View attachment 1918493