Morison amshauri Haji Manara kuacha tabia za kike

Msimtishe Morrison, ana haki ya kutoa maoni yake kwenye kazi inayomhusu. Morrison anawajua wote Simba na Yanga so anaongea kitu anachokijua.
Kusema ni ujinga kujiingiza kwenye mabifu yasiyomhusu wakati yeye kaja kufanya kazi ndo kumtisha? Halafu acha viroja wewe! Yaani Morrison amekuja juzi tu hapa ndo tayari anaijua Simba na Yanga?!
 
You nail it well bro
 
Kusema ni ujinga kujiingiza kwenye mabifu yasiyomhusu wakati yeye kaja kufanya kazi ndo kumtisha? Halafu acha viroja wewe! Yaani Morrison amekuja juzi tu hapa ndo tayari anaijua Simba na Yanga?!
BM hajazungumzia Simba na Yanga,amezingumzia use of common sense. Halafu nadhani Simba ilishatoka kwenye huo ujinga,ndio maana hata Haji alifukuzwa kwa sababu ya ujinga ujinga
 
Mkuu binafsi sifahamu lolote na ningependa kufahamu kilijiri nini?ikikupendeza funguka kwa faida yangu na wadau wenye interest
Kuna siku Chama alikuwa kwenye InstaLive! Sina uhakika kama unafahamu what's InstaLive, lakini kwa kifupi, InstaLive watu wanatumia kwa namna mbalimbali, including kuwasiliana na Followers wao through Live Video, na Followers wanaweza kuuliza maswali LIVE.

Miongoni mwa Followers waliokuwa wanamfuatulia Chama kupitia InstaLive alikuwa Mo-Dewji! Sasa kuna Shabiki mmoja akamuuliza Chama maoni yake kuhusu Hajj Manara kuondoka Simba!Kosa alilofanya Chama ni kumsifia Manara wakati akiwa Simba!! Kitendo hicho kilmkera sana Mo hadi akasusa kuendelea na InstaLive huku akimuuliza Chama ikiwa ni Manara ndie aliyekuwa amelipa signing fee ya yeye Chama kwenda Simba!!

Baada ya kushindwa kujibu hilo swali, Mo akauliza mara ya pili!! Kuna shabiki akasema Chama keshaomba msamaha lakini Mo akasema HAJAOMBA, mwishowe Mo akasusa kuendelea na InstaLive

BM hajazungumzia Simba na Yanga,amezingumzia use of common sense. Halafu nadhani Simba ilishatoka kwenye huo ujinga,ndio maana hata Haji alifukuzwa kwa sababu ya ujinga ujinga
Leo ni mara ya pili kwa Morrison kwenda ku-argue kwenye page ya Manara!! Endeleeni tu kutetea ujinga wa Morrison lakini hii si kawaida!!! Na ningependa kurudia kwamba, Morrison kaja Tanzania kufanya kazi, kwahiyo ni ujinga kutaka kujiingiza kwenye siasa za mpira wa Tanzania!
 
Tunakubaliana Manara kapewa ushauri mzuri ambao kila mtu mwenye akili timamu angeshauri hivyo. Ila tatizo eti kwa nini ushauri utolewe na Morison..Haaa haaaa
 
Vipi yeye alipovua nguo?
Alitumia common sense?
Unaweza kumshauri tu bro,hapa duniani tunashauriana. Wewe mama yako akidakwa ugoni hawezi kukushauri kuhusu kuheshimu ndoa? Huyu atakuwa utopolo huyu
 
Unaweza kumshauri tu bro,hapa duniani tunashauriana. Wewe mama yako akidakwa ugoni hawezi kukushauri kuhusu kuheshimu ndoa? Huyu atakuwa utopolo huyu
Bora hata mimi kuliko wewe ambaye ulijambwa nyuma unadhani mama yako atakushauri nini, ikiwa sio mtoto wa halali mjomba?.
😁😁😁
 
wewe pia na huyo mwehu mlitakiwa kupewa ushauri..
Uache kuwaweka matajiri kwenye avatar yako, huko ni kujipendekeza.. 😁
tumeshamshauri bro. Usihamishe magoli mkuu. ukizidiwa kausha tu.
 
Bora hata mimi kuliko wewe ambaye ulijambwa nyuma unadhani mama yako atakushauri nini, ikiwa sio mtoto wa halali mjomba?.
😁😁😁
mijitu akili mavi kama wewe huna uwezo wa ku argue kwa hoja na mimi. huna akili hizo bro,labda nikupige mashine nikuambukize akili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…