As far as I know, Morrison ndo mchezaji wa kwanza Tanzania "kununua ugomvi" wa mahasimu!!! Hii ni mara ya pili Morrison anamjibu Manara!! Cha kushangaza, Manara huwa anatumia Kiswahili! Sasa ni kwamba Morrison huwa anatumia Google kujua Manara ameandika nini ili hatimae aweze kumjibu, au anatumika?!
Kama Morrison ana Wakala, na anamwacha anafanya ujinga kama huu, basi Morrison na Wakala wake wote wajinga, kwa sababu yeye ni Foreigner tu, na amekuja Tanzania kufanya kazi, kwahiyo ni ujinga kama sio upumbavu kujiingiza kwenye Siasa za Mpira wa Tanzania.