Japo Morocco sio nchi tajiri lakini kwa uwekezaji wanao ufanya kuanzia kwenye elimu yao,viwanda,kilimo,miundo mbinu wanaonesha mwanga na nia thabiti ya kukifanya kizazi cha miaka 20 ijayo kuikuta Morocco likiwa taifa lenye maendeleo makubwa sana.
Tofauti na kwenye nchi yetu ambapo kila miaka inavyo songa mbele ndo na mambo menyewe hayaeleweki hatujui kipaumbele chetu kama taifa ni kipi tunajiendea tu.
Ukifika kwenye majiji yao kama Casablanca,Rabat,na Malacceshi kuanzia miundo mbinu ya mabarabara ,tren za umeme,mpangilio wa hiyo miji ,mpaka na usafi alafu ukarudi ukaingalia dar ndo utagundua kuwa kumbe Dar Salam ni ni takataka inayo itwa jiji.