Ww ndo huna elimu ya uchumi na ndio maana unapima uchumi kwa misingi ya ukubwa wa GDP tu.
Kipimo halisi cha uchumi imara wa nchi ni uwezo wa serikali kuhudumia raia wake ,kielimu,kiafia, kiuchumi,kiajira ,ki miundo mbinu, hivyo vyote Nigeria inazidiwa mbali sana na Morocco.
Nigeria ina watu zaidi ya million 190 lakini miundo mbinu iliyo nayo ina uwezo wa kuhudumia watu million 50 tu.Ni sawa na jiji kama dar lina watu million zaidi ya 6 hali yakuwa miundo mbinu iliyo nayo inafaa lingekuwa na watu million 1 tu.
Alafu kingine usicho kijua kiasi kikubwa cha GDP ya Nigeria ina changiwa na makampuni ya mafuta ya nchi za Magharibi yaliyo jikita nchini humo uchumi wa Nigeria uko kinadharia na sio kihalisia.