Morocco imeipiku China, Japan na India kwa kuwa msafirishaji mkubwa wa Magari Ulaya

Unaleta ujuaji halafu unaandika utoko tu,wanachokipata china kwenye huo uwekezaji morocco hawakipati!?.. unadhani morocco ni magari tu ndiyo yanayotengenezwa hapo na kampuni kubwa duniani!?
Ukome kubishana na mm!!
Mi najua vitu sio nacomment kujifurahisha
 

Attachments

  • B88B0C20-0659-4CBC-BF31-328DF36DFA17.jpeg
    568.5 KB · Views: 3
Unaweza kuelewa kwanini wamorocco hawapendi kufungamanishwa na waafrika wengine.

90% ya viongozi wakubwa wa Afrika Mashariki, hawawezi kupata nafasi za uongozi nchini Morocco hata kwa majaribio.
 
Utalinganisha morocco na ethiopia kwa economic welfare,au hata nigeria!?
We kiazi ebu njoo angalia hapa morroco si level ya nigeria kabisa haijawai kua
 

Attachments

  • 52C91570-2FCE-4593-995A-F08D72FE934A.jpeg
    78.2 KB · Views: 3
  • A234D6AE-1BF8-41D0-B831-218F0FAA14B8.jpeg
    66 KB · Views: 4
  • 0678A2FA-5CD8-43FC-A5A1-E92B1E1105EF.jpeg
    71.2 KB · Views: 3
 

Attachments

  • F018B688-BD53-4D06-AC69-E9ADC1C3DD68.jpeg
    38 KB · Views: 3
  • E6F0429F-AD4B-4B11-A469-C18FB47126B3.jpeg
    28.9 KB · Views: 3
  • 53A9062F-6F91-49C7-AE80-6FC27C6D2C94.jpeg
    74.2 KB · Views: 2
  • 07D00DD0-2C44-40A8-9776-A9CD9D2C1B2E.jpeg
    57.9 KB · Views: 2
  • 654B1CFC-F91B-4204-A3FE-C2A6F569818F.jpeg
    65 KB · Views: 2
  • 8CA1AD07-D2D2-443A-AC47-787156C870D6.jpeg
    48.7 KB · Views: 3
Vijana wa morocco wako bize kukimbilia fulsa ulaya
Hivyo viwanda havina msaada sana kwa mwananchi wa kawaida wa morocco kwanza vinatumia mashine sana na pia ela (faida) inayopatikana inaenda ulaya
 
bro ebu acha uchawa wanachokipata lazima kionekane kwene uchumi wa Gdp
😂😂😂😂

Au una baba ako ni house boy huko shobo zimekuzidi takwimu huna
India GDP yake ni kubwa zaidi ya mara 2 ya Ufaransa lakini nenda India uone maisha ya raia alafu rudi Ufaransa uone maisha yao ni mbingu na ardhi.
 
We kiazi ebu njoo angalia hapa morroco si level ya nigeria kabisa haijawai kua
Ebu tuwekee vijiji vya hiyo Nigeria unayo isifia navyo tuvione.
Nigeria ni mojawapo ya mataifa ya hovyo hapa duniani bora hata bongo.

Nigeria ipo kwenye orodha ya mataifa maskini kabisa hapa duniani wakati Morocco ni nchi inayo tambulika kuwa kwenye nchi zenye uchumi wa kati.

Yaani unababaishwa na GDP, India ni nchi ya 5 kwa GDP kubwa duniani lakini maisha ya raia wake wanayo ishi hawawafikii ha raia wa Chile ambayo hata kwenye nchi 50 zenye GDP kubwa haipo.
 
Vijana wa morocco wako bize kukimbilia fulsa ulaya
Hivyo viwanda havina msaada sana kwa mwananchi wa kawaida wa morocco kwanza vinatumia mashine sana na pia ela (faida) inayopatikana inaenda ulaya
Ww hujawahi kufika Merocco ndo maana una ongea tu,siku ukifika ndo utajua kuwa iko mbali sana kwenye mambo mengi ukilinganisha na nchi nyingi za kiafrika japo changamoto hazikosi.
 
Sisi TUNSKUZA MAVHAWA na sasa tumrfikia hatua ya kutuma machawa Marekani
 
Hajui tofauti ya economic welfare na economic growth
 
Tukana tena, ama ungetukana kabisa mara 3 utoe nyongo zako ili utapoandika usitukane tena.

Mna madini sana, lakini vidomodomo vyenu vinawavueni nguo.
 
India GDP yake ni kubwa zaidi ya mara 2 ya Ufaransa lakini nenda India uone maisha ya raia alafu rudi Ufaransa uone maisha yao ni mbingu na ardhi.
unajua kuna aina ngap ya kupima uchumi???
au huelewi unachoongea ??
unajua domestic na nomino growth ??
Kama hujui hivi vitu usiongee usichokijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…