gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Kiuchumi india na japan zina uchumi mkubwa kuliko UK,ila ukiambiwa uchague kuishi Kati ya hizo nchi na uk utakimbilia UKunajua kuna aina ngap ya kupima uchumi???
au huelewi unachoongea ??
unajua domestic na nomino growth ??
Kama hujui hivi vitu usiongee usichokijua
GDP per capita ya morocco vs nigeria na ethiopia,ipi kubwa?Mi naww nani mjinga sasa??
Naeongea kwa takwimu au purula mmoja ambae umelewa kahawa za vijiweni
Used au mapya?Kwanin tusiagize magar kutoka moroco?
Ukilinganisha na nani, nigeria au ethiopia!?..au kulinganisha na standard yao wenyewe!?Ukome kubishana na mm!!
Mi najua vitu sio nacomment kujifurahisha
Umeiona uingereza na India?..Mi naww nani mjinga sasa??
Naeongea kwa takwimu au purula mmoja ambae umelewa kahawa za vijiweni
Morocco huuza magari mapya,nyie mwanunua mitumba dubai na japanSijawahi kusikia gari linalotokea Morocco
Ww ndo huna elimu ya uchumi na ndio maana unapima uchumi kwa misingi ya ukubwa wa GDP tu.unajua kuna aina ngap ya kupima uchumi???
au huelewi unachoongea ??
unajua domestic na nomino growth ??
Kama hujui hivi vitu usiongee usichokijua
Kuuliza sio ujinga?hilo bundle unalotumia kuuliza kila kitu lingekusaidia kugoogle
Hahaha! We Jamaa bhana. Tayari umeleta udini kwenye comment ya mwenzioKwani china na nchi zingine ulaya hazitumiki kuzalisha bidhaa za kampuni za nje ya nchi zao!?.. morocco unaweza ilinganisha na nchi gani fukara afrika!?..kwa mwandiko wako hapa ni dhahiri umeumia,kimekuumiza nini!?..ingekua liberia,congo, uganda imefanya hivyo ungeumia kiasi hiki!?
Ila wana uwezo wa kujenga viwanja vya mpira na misikitiWe mpumbavu hapo chuki zinatoka wapi? Nieleze uwezo wa Morroco kumiliki wa hivyo viwanda wakati GDP yake inazodiwa na Egypt, south Afroca Nigeria na Ethiopia, masuala ya uchimi sio ya ushabiki ni facts.
Udini uko wapi hapo?Hahaha! We Jamaa bhana. Tayari umeleta udini kwenye comment ya mwenzio
we mburula mi ndo nimekwambia sijui uchumi unapimwaje??Ww ndo huna elimu ya uchumi na ndio maana unapima uchumi kwa misingi ya ukubwa wa GDP tu.
Kipimo halisi cha uchumi imara wa nchi ni uwezo wa serikali kuhudumia raia wake ,kielimu,kiafia, kiuchumi,kiajira ,ki miundo mbinu, hivyo vyote Nigeria inazidiwa mbali sana na Morocco.
Nigeria ina watu zaidi ya million 190 lakini miundo mbinu iliyo nayo ina uwezo wa kuhudumia watu million 50 tu.Ni sawa na jiji kama dar lina watu million zaidi ya 6 hali yakuwa miundo mbinu iliyo nayo inafaa lingekuwa na watu million 1 tu.
Alafu kingine usicho kijua kiasi kikubwa cha GDP ya Nigeria ina changiwa na makampuni ya mafuta ya nchi za Magharibi yaliyo jikita nchini humo uchumi wa Nigeria uko kinadharia na sio kihalisia.
toa point siyo umeona kwan mi kipofuUmeiona uingereza na India?..
Kule jangwa kutoka moroko mpka bongo hapa kati kuna nchi zinamilima ya kushato na road zake mbovu kichiziNimekuwa nikitafuta magari kutoka Morocco ila changamoto inakuja transportation...Morocco imekaa vibaya sana na Tanzania
Ww ndo mburula hivi ukiachana na nominal GDP ya Nigeria kuonekana kuwa kubwa ina kipi kingine cha ziada?we mburula mi ndo nimekwambia sijui uchumi unapimwaje??
Unajua nominal Gdp
Na domestic GDP
au kusoma vizuri hujui
Yaan ulinganishe Moroco na Nigeria yaan we akili huna GDP 400 vs gdp 150ππππWw ndo mburula hivi ukiachana na nominal GDP ya Nigeria kuonekana kuwa kubwa ina kipi kingine cha ziada?
Kwa maisha ya mtu mmoja mmoja ndani ya Nigeria bora mara mia ya bongo.
Nimesha kutolea mfano wa nchi kibao ili uelewe kuwa ukubwa wa GDP hauwakilishi maendeleo ya nchi husika.
Alafu unacho takiwa kujua ni kuwa GDP ya Nigeria haichangiwi na uzalishaji bali kwa kiasi kikubwa inachangiwa na mafuta ambayo pesa zake hazina msaada kwa raia zaidi ya kuingia kwenye mifuko ya watu wachache.
Ungekuwa unaishindanisha Morocco na misri au s.africa ninge kuelewa lakini sio takataka inayo itwa Nigeria.