Morocco kutupiga 3 kavu imetuheshimisha, Zambia na DRC msituangushe!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
UVCCM: Mbona tupo na negativity sana, kufungwa ni football. Sio timu hamasa sio CCM, hata ingekua CHADEMA hata ingekua wewe ndio upo kwenye timu hamasa TUSINGETOBOA kwa Morocco. Sisi ndio tunakuja na wao walishafika siku nyingi, tupo kupata Experience. Tuache kutoa maoni hasi kwenye swala ambalo hatuna uwezo nalo. Sijui timu hamasa sijui UCCM na UCHADEMA hausaidii kitu hapa. Kufungwa ni football tuache kubeza wengine. Tunashusha Nyota zetu kwa aina hii ya NEGATIVITY.

WASIO CCM: Hakuna haja ya kuwalaumu watu wa hamasa. Wao wanamajukumu mengine kabisa,tusichanganye. Nakubaliana na wewe kwa asilimia zaidi ya 99 kwa mipango na mapendekezo uliyoyaainisha, hakuna short cut katika soka. Mwaka 1994/95 alikuja Kocha wa timu ya Taifa kutoka Romania Victor Stanslescu na alikuja na mapendekezo ya kuboresha michezo kwa mipango ya Miaka 20 baadaye kila mmoja alimdharau na aliamua kusepa kwani hakuona dira wala mipango.

WASIO NA CHAMA: Wanaomba stars ifungwe game zote, hakuna timu duniani hata zilizochukua kombe la dunia captain akahojiwa akataja raisi wa nchi, hata kama raisi alikuwa uwanjani kushuhudia fainali hatajawi, atashukuriwa kocha na Mungu, sasa huu upuuzi ulioingizwa kwenye soka na kutekwa na siasa waendelee , wengi wetu tuna chi tunzishabikia ila siyo hii ya wanasiasa.

Waziri unatumia masaa mawili ni injili unawahubiria? Muda wote mara simu kapiga mama, mara Mwana FA kaja, Mara takataka gani za hamasa, mara kuzindika saa ngapi wachezaji watapumzika na kuwaza game?

Mumewapa tension ya kila aina, yaani sasa hivi tunasika mkia kwenye kundi na hatuna goli, yutadundwa kama ngoma, na hatutakaa tupate akili, ni kujipa magonjwa kushabikia timu za wanasiasa.

WhatsApp Image 2024-01-17 at 22.07.21.jpeg
 
" ..hakuna timu duniani hata zilizochukua kombe la dunia captain akahojiwa akataja raisi wa nchi, hata kama raisi alikuwa uwanjani kushuhudia fainali hatajawi, atashukuriwa kocha na Mungu, sasa huu upuuzi ulioingizwa kwenye soka na kutekwa na siasa

Waziri unatumia masaa mawili ni injili unawahubiria? Muda wote mara simu kapiga mama, mara Mwana FA kaja, Mara takataka gani za hamasa, mara kuzindika saa ngapi wachezaji watapumzika na kuwaza game?"

Hiyo inadhihirisha tulivyo na mawaziri wajinga na wanafiki wakubwa.

Mawaziri wajinga kama huyu, nadhani hata wakijisaidia, wanamshukuru sana Rais Samia kwa kuweza kujisaidia; wakiwa wananyoa ndevu zao, wanamshukuru Rais Samia kwa kuwawezesha kuwa na ndevu. Maana ni ujinga na upuuzi kila mahali! Hata kuwasikiliza inatia kinyaa. Hata kama Rais akifanya vizuri, lakini huwezi kumpa sifa za kinafiki namna hiyo.

Kati ya Marais waliofanya vizuri sana, tena katikati ya mazingira magumu sana ni Hayati Benjamin Mkapa, lakini kipindi chake, hatukusikia sifa za kijinga na kinafiki toka kwa mawaziri wake kama hawa wa sasa.
 
Masaa mawili anazungumza nini cha ajabu? Wewe ukienda kwa wacheza ongea dakika 7 alafu waambie jamani eeh bonus ya leo million mia 3. Ondoka zako
 
" ..hakuna timu duniani hata zilizochukua kombe la dunia captain akahojiwa akataja raisi wa nchi, hata kama raisi alikuwa uwanjani kushuhudia fainali hatajawi, atashukuriwa kocha na Mungu, sasa huu upuuzi ulioingizwa kwenye soka na kutekwa na siasa

Waziri unatumia masaa mawili ni injili unawahubiria? Muda wote mara simu kapiga mama, mara Mwana FA kaja, Mara takataka gani za hamasa, mara kuzindika saa ngapi wachezaji watapumzika na kuwaza game?"

Hiyo inadhihirisha tulivyo na mawaziri wajinga na wanafiki wakubwa.

Mawaziri wajinga kama huyu, nadhani hata wakijisaidia, wanamshukuru sana Rais Samia kwa kuweza kujisaidia; wakiwa wananyoa ndevu zao, wanamshukuru Rais Samia kwa kuwawezesha kuwa na ndevu. Maana ni ujinga na upuuzi kila mahali! Hata kuwasikiliza inatia kinyaa. Hata kama Rais akifanya vizuri, lakini huwezi kumpa sifa za kinafiki namna hiyo.

Kati ya Marais waliofanya vizuri sana, tena katikati ya mazingira magumu sana ni Hayati Benjamin Mkapa, lakini kipindi chake, hatukusikia sifa za kijinga na kinafiki toka kwa mawaziri wake kama hawa wa sasa.

siasa zinasababisha tuwe tunakwama kila mahala.

Emmanuel Macron alikiwepo Qatar kushuhudia mechi zote za mashindano lakini hakuna mahala alitajwa hata na mchezaji mmoja wa France zaidi ya yeye mwenyewe kuvutiwa na spirit ya kupambania bendera.

Huku wachezaji wetu wanaipambania CCM baadala ya Taifa lao, Rais kila anachofanya anaona ni fadhila kwetu na sio utekelezaji wa majukumu yake.

Tuko busy na uchaguzi + kulinda chama tunasahau mambo ya msingi ya ujenzi wa Taifa na generations hata tano mbele.
 
Back
Top Bottom