Ukiwa Morocco huwezi kufika Spain kirahisi, Spain ina maeneo mawili yalio bara la Africa (Melila na Ceuta) .Kwahiyo kuna Spain ya Africa (Ceuta na Melila) ambayo imepakana na Morocco na Spain ya Ulaya ambayo unatakiwa upite Tangie Africa na Uvuke bahari ya Mediterranean katika Gibraltar ndio uingie Spain bara. Spain imeweka fence nzito uku Africa yaani Melila na Ceuta ili usiweze kuifikia bahari ya Mediterranean uende Spain Ulaya. Wamorroko wasio na vibali kila wakati wanapamba kwenye fence kuingia Spain ya Africa(Melila na Ceuta) ili wapate uhalali wa kuamishiwa Spain ya Ulaya. Kiufupi Spain wamejipanga ndio maana unaona Wahamiaji kutoka Africa wanashindwa kuzamia hata kwa boti.