Morocco kwenda Ulaya (Uhispania na Ureno) ni karibu kuliko Zanzibari na Dar (umbali wa fukwe ni 14km)

Morocco kwenda Ulaya (Uhispania na Ureno) ni karibu kuliko Zanzibari na Dar (umbali wa fukwe ni 14km)

Ukiwa Morocco huwezi kufika Spain kirahisi, Spain ina maeneo mawili yalio bara la Africa (Melila na Ceuta) .Kwahiyo kuna Spain ya Africa (Ceuta na Melila) ambayo imepakana na Morocco na Spain ya Ulaya ambayo unatakiwa upite Tangie Africa na Uvuke bahari ya Mediterranean katika Gibraltar ndio uingie Spain bara. Spain imeweka fence nzito uku Africa yaani Melila na Ceuta ili usiweze kuifikia bahari ya Mediterranean uende Spain Ulaya. Wamorroko wasio na vibali kila wakati wanapamba kwenye fence kuingia Spain ya Africa(Melila na Ceuta) ili wapate uhalali wa kuamishiwa Spain ya Ulaya. Kiufupi Spain wamejipanga ndio maana unaona Wahamiaji kutoka Africa wanashindwa kuzamia hata kwa boti.
Screenshot_20221216-080135.jpg
 
You are too correct,Ila Dembele ni Mfaransa mwenye asili ya Afrika,Ila siyo mwafrika, Commoro ni Waafrika wenye asili ya Arabic countries siyo Waarabu.

Asilimia kubwa ya wazungu wapatikanao South Afrika ni Waafrika ingawa siyo weusi.
Wazungu wanaopatikana South Afrika ni Waafrika? 🤣 Kajaribu kumuelezea hili Malema na wafuasi wake
 
Pamoja na kwamba ile statement ilikuwa na makosa lakini tukubaliane tu kuwa Sisi Watanzania na Waafrika tunatafsiri uafrika kama mtu mweusi. Na kama tungekuwa na maendeleo makubwa kama nchi za Ulaya nadhani tungekuwa wabaguzi sana.
 
Kilometa 14 Ni Nyingi sana

Mbna hao Morocco na nchi ya kusini kwake Ni mita 50 tu

Mipaka ya nchi na nchi Ni mita tatu tu huwaga Sasa iweje waforce sehemu ya km 14

Kwann hao Spain wasiseme hao Ni wa Africa ikiwa Kuna umbali wa 14km to Africa
Hili taifa la Morocco wana kila sababu kujiita ni watu wa Ulaya!

Umbali kutoka fukwe za Morocco na Uhispania iliyoko bara la ulaya ni 14km tu! Umbali huu unaruhusu muingiliano rahisi sana kama ilivyo Pemba na Unguja!

Koo nyingi za uhispania wameoleana na Wamorocco kama ilivyo kwetu bara na visiwani!

Kwa usafiri wa ndege kutoka miji muhimu ya Morocco na Uhispania ni mwendo wa saa moja na dakika kumi tu kwani kuna umbali wa takriban kilomita elfu moja tu, umbali ambao ni sawa na kutoka Dar to Mwanza!

Kiufupi hawa waarabu wapo Afrika basi tu lakini asili yao ni Ulaya! Matendo yao ni ulaya, elimu yao ni ulaya, mitaala yao ni ulaya n.k

Tabia za Mreno na Mhispania nyingi zinaingiliana sana na Wamorocco!

Kuiweka kundi moja Morroco na Tanzania ni sawa na kulinganisha nywele za utosini na vinyweleo vya miguu! Hatufanani hata kidogo!

View attachment 2448016
 
Ukiwa Morocco huwezi kufika Spain kirahisi, Spain ina maeneo mawili yalio bara la Africa (Melila na Ceuta) .Kwahiyo kuna Spain ya Africa (Ceuta na Melila) ambayo imepakana na Morocco na Spain ya Ulaya ambayo unatakiwa upite Tangie Africa na Uvuke bahari ya Mediterranean katika Gibraltar ndio uingie Spain bara. Spain imeweka fence nzito uku Africa yaani Melila na Ceuta ili usiweze kuifikia bahari ya Mediterranean uende Spain Ulaya. Wamorroko wasio na vibali kila wakati wanapamba kwenye fence kuingia Spain ya Africa(Melila na Ceuta) ili wapate uhalali wa kuamishiwa Spain ya Ulaya. Kiufupi Spain wamejipanga ndio maana unaona Wahamiaji kutoka Africa wanashindwa kuzamia hata kwa boti.View attachment 2448417
Hii ni kutokana na miaka ya 70 waafrika waligeuza lango kuingia ulaya kirahis
 
Babu umeelewa lkn kilichoandikwa? Morocco ni border Tu ya kufika Spain,najua Sana kuwa wahamiaji HARAMU hupitia Morocco Toka kitambo ni kama ilivyo hapa Tanzania na wahamiaji HARAMU kutoka Somalia, Ethiopia na Eritrea.
Someni historia vizuri utaelewa ndo maana Spain na Morocco wanashirikana Kwa ukaribu Sana juu ya wahamiaji HARAMU kutoka Africa
 
Ukweli ni kuwa Morocco hawana asili ya waafrica , hyo mipaka ivunjwe tuu jamaa warud ulaya , wanajielewa Sana hawa mamwamba ,
 
Babu umeelewa lkn kilichoandikwa? Morocco ni border Tu ya kufika Spain,najua Sana kuwa wahamiaji HARAMU hupitia Morocco Toka kitambo ni kama ilivyo hapa Tanzania na wahamiaji HARAMU kutoka Somalia, Ethiopia na Eritrea.
Someni historia vizuri utaelewa ndo maana Spain na Morocco wanashirikana Kwa ukaribu Sana juu ya wahamiaji HARAMU kutoka Africa
Moroccans ni raia wa nchi gani ?
IMG_20221216_114248.jpg
 
Acha uongo.
Ukiwa Unguja huwezi kabisa kuiona land object yoyote ya Dar es Salaam.

Unajua curvature ya dunia ilivo wewe?
Kwanza nataka kujua kama umewahi kufika Unguja Ukuu....

Na iwapo unajua Wazo Hill ipo wapi huko Tanzania Bara..

Then nitakujibu hoja yako mufilisi..
 
Back
Top Bottom