GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Wewe unavyowatetea Kindezi na Kisimbilizi hapa JamviniWamorocco wakiwa waafrika unapata faida gani na wasipo kuwa waafrika unapata hasara gani ?
Ni wapi nimewatetea ?Wewe unavyowatetea Kindezi na Kisimbilizi hapa Jamvini
unapata Faida gani?
Hovyo kabisa....!!
Wakiwa popote sipati hasara wala faida zozote. Ila kauli zao zinaleta hasara kwa maana ya mahusiano na wengine. Kwasasa, wakikomaa na maamuzi yao, maana yake taifa lolote litakalojiunga na Morrocco litajipa shida na mataifa mengine ya Afrika. Hii issue ni mtambuka, siyo rahisi kama unavyoidhania. Ni vile tu bado hawajaingia huko kwenye jumuiya za ulaya na kauli zao baadhi walijidai kuomba msamaha..!!Wamorocco wakiwa waafrika unapata faida gani na wasipo kuwa waafrika unapata hasara gani ?
Hopeless.Ni wapi nimewatetea ?
Wakijiunga OIC wewe unapata hasara gani ?Wakiwa popote sipati hasara wala faida zozote. Ila kauli zao zinaleta hasara kwa maana ya mahusiano na wengine. Kwasasa, wakikomaa na maamuzi yao, maana yake taifa lolote litakalojiunga na Morrocco litajipa shida na mataifa mengine ya Afrika. Hii issue ni mtambuka, siyo rahisi kama unavyoidhania. Ni vile tu bado hawajaingia huko kwenye jumuiya za ulaya na kauli zao baadhi walijidai kuomba msamaha..!!
Embu fikiria, kama Morocco ipo OIC na Tanzania (Zanzibar) nayo ijiunge na OIC, unategemea nini?
Huna maadili mkuu,unaiombea ipigwe na tetemeko kubwa zaidi ya walilopata,eti kwa sababu ya mambo ya mpira wa World cup? wewe ni mtu mbaya sana,naweza kufikiri hata majirani zako unaweza kuwatilia sumu kwenye chakula.Lile tetemeko la kisenge kweli, lilipaswa kupiga mji mkuu halafu liondoke na nyomi ya watu hata milioni. Next time tetemeko lisiwe na 6.8, liwe na 20 ama 30 na lipige mji mkuu.
Sijajua kitaalum kama hua kuna tetemeko la 20 ama 30. Hilo ndio linapaswa kutembelea wasengerema kama hao.
Kwani bila hizo kauli za kukana waafrika wenzao hawawezi pata maendeleo?Inajali maendeleo
Nimeshakuambia mahusiano na wengine nikiwemo mimi..!! Inaonekana huwezi chambua nilichokuambiaWakijiunga OIC wewe unapata hasara gani ?
Wewe Muafrika Morocco ni wenzako toka lini ?Kwani bila hizo kauli za kukana waafrika wenzao hawawezi pata maendeleo?
Au wewe kwako kuwakataa wenzio ndo maendeleo?
Au wewe kushobokea wa ulaya ndiyo maendeleo?
Watu wamewakataa nyie mnaenda kuchukua kocha, golikipa na mtrainer huko. Mnajielewa kweli nyie kolo na uto?Nchi ya Morocco ambayo hivi sasa imekumbwa na Janga Kubwa la Tetemeko la Ardhi imesema ni nchi Nne tu ndizo wameruhusu Wawasaidie ambazo ni Hispania, Uingereza, Qatar na UAE.
Kuna Taifa moja Barani Afrika ( nimelisahau Jina ) lenyewe Uturuki ilipopatwa na Janga kama hili la Morocco ilikuwa na Kiherehere ( Waganda wanasema Lugezigezi ) kwa kupeleka Msaada wa Tani za Mahindi wakati nchini Kwake tu kuna sehemu ya Mikoa ( Maeneo ) Wananchi wake wana Njaa iliyotukuka.
Kama kuna Taifa ambalo Silielewi Barani Afrika ni la Morocco kwani hata katika Fainali za Kombe la Dunia zilizopita walipofika hatua nzuri Walituruka Waafrika wengine tuliokuwa tunajivunia nao kwa kutuambia kuwa tusiwashangilie kwani Wao siyo Waafrika Wenzetu bali Wao ni Wazungu na wako Afrika ( aliko GENTAMYCINE ) kwa bahati mbaya tu.
Walipotukataa Waafrika kuwa Wao ni Wazungu kama Kawaida yetu Waafrika tulichukia na kujigawa ambapo Wengine waliwaombea Dua Baya na Wengine waliamua Kuwaroga kabisa na Wengine tuliangalia Mechi yao iliyofuata huku Tukisonya na Kununa hali ambayo ilisaidia kufanya wafanye vibaya ( Wafungwe ) na ili kuonyesha kuwa pamoja na Wamoroko kuwa na Dharau kumbe pia ni Wapumbavu ( Mapopoma ) kwani baada ya Kufungwa na Kutolewa Mashindanoni walirejea na kusema kuwa Wao ni Waafrika Wenzetu.
Haya Morocco hawataki Misaada yenu sasa nyie Jipendekezeni kupeleka Mahindi, Mcbele na Maparachjchi yenu muone kama hamkurudishwa nayo Uwanja wa Ndege au Bandarini.
Hivi waarabu siyo waafrika?Morrocco Wako sahihi kabisa kujivua uafrika.
Maana hata majanga yakitokea, Popote pale Duniani wazungu na waarabu ndio wa kwanza kutoa misaada ya kibinadamu.
Uafrika ni Laana.
Unaandika taka taka. Una miaka mingapi kwanza dogo ?Nimeshakuambia mahusiano na wengine nikiwemo mimi..!! Inaonekana huwezi chambua nilichokuambia
Waafrika toka lini ?Hivi waarabu siyo waafrika?
Waarabu ni wa Asia.Hivi waarabu siyo waafrika?
Hata kama siyo mpira, kwani morroco ni waafrica wale? Kukaa Africa siyo lazima uwe mwafrika.Ikicheza Senegal vs Morroco.
Huwa mnakuwa upande gani?
Sababu ya kuwakataa wanayo
Waarabu wapo bara la Africa ila siyo waafrica acha kulazimisha wawe waafrica.Waarabu ni wa Asia.
Waarabu waliopo Afrika ni Machotara, mashombe shombe.
Waliokuwa wanataka kujifunza maana halisi ya roho mbaya waje wasome hiiLile tetemeko la kisenge kweli, lilipaswa kupiga mji mkuu halafu liondoke na nyomi ya watu hata milioni. Next time tetemeko lisiwe na 6.8, liwe na 20 ama 30 na lipige mji mkuu.
Sijajua kitaalum kama hua kuna tetemeko la 20 ama 30. Hilo ndio linapaswa kutembelea wasengerema kama hao.