Morocco walianza kusema Wao siyo Waafrika Wenzetu, Leo wana Janga Kubwa wanachagua wa Kuwasaidia

Morocco walianza kusema Wao siyo Waafrika Wenzetu, Leo wana Janga Kubwa wanachagua wa Kuwasaidia

Wamorocco wakiwa waafrika unapata faida gani na wasipo kuwa waafrika unapata hasara gani ?
Wewe unavyowatetea Kindezi na Kisimbilizi hapa Jamvini
unapata Faida gani?

Hovyo kabisa....!!
 
Wamorocco wakiwa waafrika unapata faida gani na wasipo kuwa waafrika unapata hasara gani ?
Wakiwa popote sipati hasara wala faida zozote. Ila kauli zao zinaleta hasara kwa maana ya mahusiano na wengine. Kwasasa, wakikomaa na maamuzi yao, maana yake taifa lolote litakalojiunga na Morrocco litajipa shida na mataifa mengine ya Afrika. Hii issue ni mtambuka, siyo rahisi kama unavyoidhania. Ni vile tu bado hawajaingia huko kwenye jumuiya za ulaya na kauli zao baadhi walijidai kuomba msamaha..!!

Embu fikiria, kama Morocco ipo OIC na Tanzania (Zanzibar) nayo ijiunge na OIC, unategemea nini?
 
Wakijiunga OIC wewe unapata hasara gani ?
 
Lile tetemeko la kisenge kweli, lilipaswa kupiga mji mkuu halafu liondoke na nyomi ya watu hata milioni. Next time tetemeko lisiwe na 6.8, liwe na 20 ama 30 na lipige mji mkuu.

Sijajua kitaalum kama hua kuna tetemeko la 20 ama 30. Hilo ndio linapaswa kutembelea wasengerema kama hao.
Huna maadili mkuu,unaiombea ipigwe na tetemeko kubwa zaidi ya walilopata,eti kwa sababu ya mambo ya mpira wa World cup? wewe ni mtu mbaya sana,naweza kufikiri hata majirani zako unaweza kuwatilia sumu kwenye chakula.
 
Morrocco Wako sahihi kabisa kujivua uafrika.

Maana hata majanga yakitokea, Popote pale Duniani wazungu na waarabu ndio wa kwanza kutoa misaada ya kibinadamu.

Uafrika ni Laana.
 
Kwani bila hizo kauli za kukana waafrika wenzao hawawezi pata maendeleo?
Au wewe kwako kuwakataa wenzio ndo maendeleo?
Au wewe kushobokea wa ulaya ndiyo maendeleo?
Wewe Muafrika Morocco ni wenzako toka lini ?
 
Nchi ya Morocco ambayo hivi sasa imekumbwa na Janga Kubwa la Tetemeko la Ardhi imesema ni nchi Nne tu ndizo wameruhusu Wawasaidie ambazo ni Hispania, Uingereza, Qatar na UAE.

Kuna Taifa moja Barani Afrika ( nimelisahau Jina ) lenyewe Uturuki ilipopatwa na Janga kama hili la Morocco ilikuwa na Kiherehere ( Waganda wanasema Lugezigezi ) kwa kupeleka Msaada wa Tani za Mahindi wakati nchini Kwake tu kuna sehemu ya Mikoa ( Maeneo ) Wananchi wake wana Njaa iliyotukuka.

Kama kuna Taifa ambalo Silielewi Barani Afrika ni la Morocco kwani hata katika Fainali za Kombe la Dunia zilizopita walipofika hatua nzuri Walituruka Waafrika wengine tuliokuwa tunajivunia nao kwa kutuambia kuwa tusiwashangilie kwani Wao siyo Waafrika Wenzetu bali Wao ni Wazungu na wako Afrika ( aliko GENTAMYCINE ) kwa bahati mbaya tu.

Walipotukataa Waafrika kuwa Wao ni Wazungu kama Kawaida yetu Waafrika tulichukia na kujigawa ambapo Wengine waliwaombea Dua Baya na Wengine waliamua Kuwaroga kabisa na Wengine tuliangalia Mechi yao iliyofuata huku Tukisonya na Kununa hali ambayo ilisaidia kufanya wafanye vibaya ( Wafungwe ) na ili kuonyesha kuwa pamoja na Wamoroko kuwa na Dharau kumbe pia ni Wapumbavu ( Mapopoma ) kwani baada ya Kufungwa na Kutolewa Mashindanoni walirejea na kusema kuwa Wao ni Waafrika Wenzetu.

Haya Morocco hawataki Misaada yenu sasa nyie Jipendekezeni kupeleka Mahindi, Mcbele na Maparachjchi yenu muone kama hamkurudishwa nayo Uwanja wa Ndege au Bandarini.
Watu wamewakataa nyie mnaenda kuchukua kocha, golikipa na mtrainer huko. Mnajielewa kweli nyie kolo na uto?
 
Anyway Sina mate ya kutema, je mate ya kumeza nitatolea wapi..?

ngoja nitengeneze joint ya kush nivute huku nasoma comments za wadau.
 
Lile tetemeko la kisenge kweli, lilipaswa kupiga mji mkuu halafu liondoke na nyomi ya watu hata milioni. Next time tetemeko lisiwe na 6.8, liwe na 20 ama 30 na lipige mji mkuu.

Sijajua kitaalum kama hua kuna tetemeko la 20 ama 30. Hilo ndio linapaswa kutembelea wasengerema kama hao.
Waliokuwa wanataka kujifunza maana halisi ya roho mbaya waje wasome hii
 
Back
Top Bottom