Morocco walianza kusema Wao siyo Waafrika Wenzetu, Leo wana Janga Kubwa wanachagua wa Kuwasaidia

Unafikwa na majanga unachagua nani wa kukusaidia ili iweje???? Kiufupi moroco wanajikuta ni wazunguu sasa acha wapigweee.. Lije tenaa kubwaa zaidiii
 
Visionaty leader! Na ameanza kuyafanya baada ya miaka kumi mtaanza hadithi za uchambuzi wa "How Saudi has become the super power.
Ilikuwa hivyo kwa China miaka 20 iliopita sasa ni hadithi za maendeleo yaliotukuka mpaka Afrika tuna nusa harufu ya maendeleo walau tunaonekana nusu binadamu.
Ni kitu cha kushangaza sana watu wa Jangwani wamepiga hatua kubwa na wana maono makubwa kuliko sisi Waaafrika wenye fertile land,water, mineral na watu wenye nguvu za mwili kuliko watu wowote wale hapa duniani.
Tuanze kuwa na maono makubwa na kufanya true revolution, sio kulalama lama.
 
Waachani tu, wnataka kufanana na mabwana zao, wqtakua walikolezwa sana na fimbo ya ukoloni.
Hata hivyo sisi weusi hatkakiwi kudandia kwenye rangi nyeupee ili kuthibitisha uafrica wetu rangi yetu inatosha kututambulisha.
inferiority complex ndiyo shida yenu
 
Noma sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…