Morocco walianza kusema Wao siyo Waafrika Wenzetu, Leo wana Janga Kubwa wanachagua wa Kuwasaidia

Morocco walianza kusema Wao siyo Waafrika Wenzetu, Leo wana Janga Kubwa wanachagua wa Kuwasaidia

Ivi kumbe sisi wabongo masnitch sana, yani izi comment zikitumwa Morocco haitojenga picha nzuri.

Situwege tunamwachia Ngoswe yake Ngoswe..

Mnaumia nn taifa linalojiweza!!

Sasa africa kuna nchi gani yakaribu yakuipa whinch Mirocco wainue vifusi vya matofali ya magorofa??

Ukiangalia nchi zote zinazo izunguka morroco kweli wako fit sio unafki.

Kuchagua msaada utokee wapi
Factor nyepesi tu ni graphical position[emoji1787]

Ivi unajua kule ni desert coast! Nchi ya karibu na yenye resource ni izo ukiangalia kutoka morroco mpka spain ni kama 3hrs ila kufika mpaka mwingine near ni almost 22hours[emoji1787]

Kweli ndo maana maza anasema tunaitaji elimu kwanza kama common sens tu za kugugo amna![emoji41]
Unafikwa na majanga unachagua nani wa kukusaidia ili iweje???? Kiufupi moroco wanajikuta ni wazunguu sasa acha wapigweee.. Lije tenaa kubwaa zaidiii
 

Visionaty leader! Na ameanza kuyafanya baada ya miaka kumi mtaanza hadithi za uchambuzi wa "How Saudi has become the super power.
Ilikuwa hivyo kwa China miaka 20 iliopita sasa ni hadithi za maendeleo yaliotukuka mpaka Afrika tuna nusa harufu ya maendeleo walau tunaonekana nusu binadamu.
Ni kitu cha kushangaza sana watu wa Jangwani wamepiga hatua kubwa na wana maono makubwa kuliko sisi Waaafrika wenye fertile land,water, mineral na watu wenye nguvu za mwili kuliko watu wowote wale hapa duniani.
Tuanze kuwa na maono makubwa na kufanya true revolution, sio kulalama lama.
 
Waachani tu, wnataka kufanana na mabwana zao, wqtakua walikolezwa sana na fimbo ya ukoloni.
Hata hivyo sisi weusi hatkakiwi kudandia kwenye rangi nyeupee ili kuthibitisha uafrica wetu rangi yetu inatosha kututambulisha.
inferiority complex ndiyo shida yenu
 
Is Morocco the African, Arab, or Europe country? Kuna nchi ya kiafrika iliyotoa msaada? Naona nchi za kiarabu ndio zimekuwa za mwanzo mwanzo kutoa misaada. Anyway, hiyo nchi iko kwenye ukanda wa tetemeko la ardhi, walijisahau sana kuwa wamejenga kwenye ukanda hatari hawakuchukua tahadhari. Hii dunia ina kanda za hatari kujenga, kuna maeneo yenye kukumbwa na mafuriko, ukame, majangwa, tufani, volkano, vimbunga na hata milipuko ya magonjwa. Binadamu hana budi kujua eneo alilojenga linaweza kukumbwa na janga gani la asili
Noma sana!
 
Back
Top Bottom