Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Wewe unawajua hao wauwajiLakini aliyemuua hamphrey polepole,mzee kibao,mdude,dr emanuel nchimbi hawakamatwi kwa nini?
Wauaji ni serikali maana ndiyo anavyombo vyote vya kulindaWewe unawajua hao wauwaji
Mahakama ikikuita uthibitishe unawezaWauaji ni serikali maana ndiyo anavyombo vyote vya kulinda
Kwa hiyo wewe unaona mzalendo namba moja balozi polepole kuliko huyo unayemtetea ni sawa kutokuonekana na serikali kukaa kimya?Mahakama ikikuita uthibitishe unaweza
WanajulikanaWewe unawajua hao wauwaji
Siku ikitokea kwa ndugu yako, uje uulize tena hili swali.Wewe unawajua hao wauwaji
Mahakama Huwa Haiti mtu, watu ndio Huwa wanaenda mahakamani kufungua kesi.Mahakama ikikuita uthibitishe unaweza
Hao ni special forcesLakini aliyemuua hamphrey polepole,mzee kibao,mdude,dr emanuel nchimbi hawakamatwi kwa nini?
Mahakama ikikuita uthibitishe unaweza
Na hata kama anawajua akiambiwa aende akatoe ushirikiano kwa Polisi anagoma halafu bado atalalamika kwanini hawakamatwi.Wewe unawajua hao wauwaji
Mjinga na mtu mwenye kufuata mkumboNa hata kama anawajua akiambiwa aende akatoe ushirikiano kwa Polisi anagoma halafu bado atalalamika kwanini hawakamatwi.
Tundu Lissu wakati akijitetea alisema maneno hayawezi kumtia mtu hatiani kama hayajathibitishwa Kwa vitendo.View attachment 3660755
Mimi naweza ndio..
Kama huyu uvccm anajitaja kabisa kwanini serikali haianzi na hawa? Mbona watekaji wanafahamika..
Mafwele na Katajwa mara ngapi na walionusurika ?