Morogoro: Askari sita wa Jeshi la Polisi wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya kijana wa miaka 23

Morogoro: Askari sita wa Jeshi la Polisi wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya kijana wa miaka 23

Hakuna hata siku moja police na wananchi watakuja kupatana kwasababu ya kutumia nguvu.
 
Tundu Lissu wakati akijitetea alisema maneno hayawezi kumtia mtu hatiani kama hayajathibitishwa Kwa vitendo.

Kama ambavyo Lissu alisema tutakinukisha,na hakukinukisha hivyo hayo maneno ya huyu UVCCM yapuuze tu.ila unaweza kuleta ushahidi wa vitendo kama kumuona mtu fulani akiteka na kuua live.
Tundu Lissu alizungumza kuhusu kikinukisha , huyu UVCCM anazungumza kuhusu kupoteza watu ina maana kuteka na kuua, sasa niambie kwanini Lissu yupo mahakamani huyu anayesema atateka watu na kuua hajashughulikiwa?

Nijibu...
 
Jibu liko wazi mmoja alikuwa anazuia ghasia (UVCCM)

Mwingine alikuwa anashambulia (chochea)ghasia.

Mtu yeyote mwenye kutishia usalama na Amani ya nchi Kwa masilahi yake ni muhaini.
Alikuwa anazuia ghasia , unafahamu maana ya ghasia?

Kikatiba mtu anayekosoa viongozi adhabu yake ni kifo?

Mtu anayetukana viongozi mtandaoni adhabu yake ni kifo?

Mwisho , huyo uvccm ana mamlaka yapi ya kutuliza ghasia? Hio si kazi ya Polisi?
 
Back
Top Bottom