Morogoro: Askari sita wa Jeshi la Polisi wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya kijana wa miaka 23

Tundu Lissu wakati akijitetea alisema maneno hayawezi kumtia mtu hatiani kama hayajathibitishwa Kwa vitendo.

Kama ambavyo Lissu alisema tutakinukisha,na hakukinukisha hivyo hayo maneno ya huyu UVCCM yapuuze tu.ila unaweza kuleta ushahidi wa vitendo kama kumuona mtu fulani akiteka na kuua live.
Vizuri.

Hivyo kwa maelezo yako haya ni upi msimamo wako juu ya kesi ya uhaini ya Tundu Lissu?
 
Tundu Lissu wakati akijitetea alisema maneno hayawezi kumtia mtu hatiani kama hayajathibitishwa Kwa vitendo.

Kama ambavyo Lissu alisema tutakinukisha,na hakukinukisha hivyo hayo maneno ya huyu UVCCM yapuuze tu.ila unaweza kuleta ushahidi wa vitendo kama kumuona mtu fulani akiteka na kuua live.
Sasa tofauti ya maneno kati ya huyo vcccccm na lissu ni ipi mbona mwingine yupo ndani na huyo yupo huru?
 
Jibu liko wazi mmoja alikuwa anazuia ghasia (UVCCM)

Mwingine alikuwa anashambulia (chochea)ghasia.

Mtu yeyote mwenye kutishia usalama na Amani ya nchi Kwa masilahi yake ni muhaini.
 
Back
Top Bottom