Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Kutoa tamko siyo mpaka utende.ghasia gani aliyokiizuia?
Naona kama unataka kuhamisha mjadala, taaluma ya kupima watu wanaomiliki wajinga sina.Sina ndugu mjinga,na kifo ni mchakato ambao kila mtu atakutana nao hata Kwa Aina tofauti
Sawa huwezi kujua kila kitu kwenye hii Dunia vingine vikupiteNaona kama unataka kuhamisha mjadala, taaluma ya kupima watu wanaomiliki wajinga sina.
Haujajibu badoKutoa tamko siyo mpaka utende.
Ila ni mbinu ya kufanya mtu aahirishe maamuzi yake
Sijajibu unavyotaka weweHaujajibu bado
Tundu Lissu alizungumza kuhusu kikinukisha , huyu UVCCM anazungumza kuhusu kupoteza watu ina maana kuteka na kuua, sasa niambie kwanini Lissu yupo mahakamani huyu anayesema atateka watu na kuua hajashughulikiwa?Tundu Lissu wakati akijitetea alisema maneno hayawezi kumtia mtu hatiani kama hayajathibitishwa Kwa vitendo.
Kama ambavyo Lissu alisema tutakinukisha,na hakukinukisha hivyo hayo maneno ya huyu UVCCM yapuuze tu.ila unaweza kuleta ushahidi wa vitendo kama kumuona mtu fulani akiteka na kuua live.
Alikuwa anazuia ghasia , unafahamu maana ya ghasia?Jibu liko wazi mmoja alikuwa anazuia ghasia (UVCCM)
Mwingine alikuwa anashambulia (chochea)ghasia.
Mtu yeyote mwenye kutishia usalama na Amani ya nchi Kwa masilahi yake ni muhaini.
Ukikemea Ufisadi, Rushwa, Utekaji na Mauaji unakuwa unabishana na serikali?Sina ndugu mjinga anaweza bishana na serikali
Haujajibu jibu sahihi dadaSijajibu unavyotaka wewe
Unajua ushirkiano wa polisi au unaongea TU?Na hata kama anawajua akiambiwa aende akatoe ushirikiano kwa Polisi anagoma halafu bado atalalamika kwanini hawakamatwi.