JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Mimi mke wangu alichepuka na Dereva wa bajaji nanikajua Nika mpiga chini moyoni bila yeye kujua, Nilivyo pata hela ya nauli Tu, Nika msafirisha kwao Karagwe mkoa wa kagera alivyofika tu, Nika msomea kesi kwenye simu na mpaka ushaidi nimempa. Nikatuma Taraka 6 kwenye sms 😠😠Baba yake sasa njoo tuyamalize Nika waambia nitakuja baada ya miezi 6😄😄. Mpaka leo mwaka wa 4 sijaenda.🏃🏃Shida ya mapenzi wahusika hamuwezi kutenganishwa bila wenyewe kuamua,sasa Mume eti una mwambia mkeo achana na mchepuko ni vichekesho.
Kila mtu achukue njia yake vinginevyo mtauanaYani mwanamke avue Tait akutane na chupi tena avue apanue miguu iingie hapo hakuna bahati mbaya ni kupiga chini tu uyo mwanamke.
Sio wote sema wakatili wapoWanawake wana ROHO mbaya sana
Kwenye 100 ni 99.9% ni 0.1 ndio sio makatiriSio wote sema wakatili wapo
Kabisa naunga mkono hojaHabari ya kusikitisha sana hii.
Mwanamke akishakuwa mchepukaji apewe talaka aondoke.
Masikitiko.Unashona naye hadi nguo za kitenge lakini wapi.. Hawa viumbe sijui wakoje yaani unamuua mmeo kisa mchepuko?
I can divorce the bad wife! I guess its easier than getting rich.Well, devoid of the other experience, being rich becomes your norm and the bad wife a nasty experience to be rid of, not tolerated as it negates the value and pleasure of being rich.
Amin Amin nakwambia naweza kuua au kujiua kuliko kuvumilia mke anayeweza kupita hata na “boda boda” na kuiporomosha hadhi yako katika jamii, eti almuradi una utajiri.
... USIKUTE NA HILO BODABODA FALA LIKAWA KATAA NDOA!Kataa ndoa ole wenu tuwakute na madem zetu, nikufyeka Korodani tu.
Kuna Kesi kama 2 hivi- Jamaa Walioa mabinti ambao awajakula ujana(awajaishi dating/party life wenyewe) walipokuja pata ajira zao hawa mabinti walianza Kuchepuka! Iliwasumbuwa sana wanaume zao.na mwishowe Wanaume waliamua kuachana nao- Mwanamke akipenda kapenda na atafanya lolote kulinda pale anapopenda- kama upendwi kubali na achana nae dont force.... ukiforce either ufe wewe au mgawane majengo ya Serikali mmoja akalazwe Mochuwari wewe mume akalazwe Jela😭
😅Atavutwa korodani na kupigizwa rungu za ugoko mpaka aseme kwanini aliamua kuua Mume wa Mwanamke mwenzie
ina ukweli hii? Huwa tunaiona hasa makanisani?Ukiona mwanamme amevaa kitenge sare na mkewe ujue mwanamke Ndio amatawala boma hapo.
Ipo hivyo mkuu,Amini nakuambiaina ukweli hii? Huwa tunaiona hasa makanisani?
ila nisijue, nikijua nitachukua maamuzi magumuWalimaanisha kwenye Ndoa kugongwa na kugongewa sio Jambo la ajabu kwa HIO ujue kuamua unaingia au hauingii Ila jua utagongewa tu
Aisee utakuwa unamjua Mzee NtangwaMang'ula A, B, mwaya, mgudeni, signal(ziginali), kiberege, tanapa kule juu, st Mary's sijui kama ipo, sole(good news), sanje waterfalls(kama sijakosea) yalikuwa maeneo yangu ya kujidai.
Huyu mwanamke kafanya kosa atajutia milele.