Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda


Naishia nae kama fenicha tu. Akili yangu nitaielekeza kwenye kutafuta more money na kulea watoto. Watu wanaishi nyumba moja ila kila mtu na chumba chake huku nje hakuna anaejua,nimeshuhudia hilo.
Maisha yangu ni responsibility yangu sitegemei mtu anipe furaha au aniinue kiuchumi especially mke. Kama unaoa ili ukapate furaha you are in for a nasty surprise
maisha yetu ni real and complex.
 
MWANAUME UKISHAONA DALILI HAKUNA TENA HESHIMA KWA MKE KUVUA CHUPI KWA MWINGINE WEWE SEPA ZAKO NA KIBEGI CHA NGUO NA LAINI UBADILISHE.USIOGOPE KUANZA SIFURI UKIWA NA MTAJI WA PESA NA AFYA
 
Hapa Mwalimu hakuwa sawa kiakili inawezekana alichezewa.
 
Tungaraza!

Mkerewe huyu bila shaka kama sio Mkara. Nduguze wakilia wakaomboleza wakasema inatosha hili haliendi bure na wakaamua kutumia LUTEGO! nauona ukoo wa huyo mwanadada ukiteketea
 
Iyo sasa sidhani kama ni ndoa Tena. Labda hofu ipo kwenye kugawanya mali tu, ila mtu unajua kabisa hapa baadhi ya watoto sio wangu na bado umekomaa tu na iyo ndoa.. iyo ni balaa
 
Kama ushahidi umepatikana kupitia kipigo ni batili. Mnasema alikuwa amelala na mumewe ndio wakavamiwa na mume kuuawa. Lakini wakamsulubu mwanamke mpaka kakiri! Kwa upelelezi wa aina hii watu wengi wasio na hatia watabambikiwa kesi.

Amandla...
 
Hao ndio eanawake sasa. Halafu hautasikia kelele za feminists bladikamengelesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…