Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Until death do us apart, it’s all a scam!
 
Hadi sasa mpira dakika ya 70 , kataa ndoa wakiongoza bao 3
 
Kuna Kesi kama 2 hivi- Jamaa Walioa mabinti ambao awajakula ujana(awajaishi dating/party life wenyewe) walipokuja pata ajira zao hawa mabinti walianza Kuchepuka! Iliwasumbuwa sana wanaume zao.na mwishowe Wanaume waliamua kuachana nao- Mwanamke akipenda kapenda na atafanya lolote kulinda pale anapopenda- kama upendwi kubali na achana nae dont force.... ukiforce either ufe wewe au mgawane majengo ya Serikali mmoja akalazwe Mochuwari wewe mume akalazwe Jela😭
 
Hawa wavaa kitenge wanaua kwa vile wana kiapo kifo ndio kitawatenganisha ...So ndio maana hamna njia ya kuachana mpaka mmoja aende futi 6..

Kwako stress chellenger
Hawa wavaa kitenge wanauwana kwa vile wana kiapo kifo ndio kitawatenganisha ...So ndio maana hamna njia ya kuachana mpaka mmoja aende futi 6..

Kwako Stress Challenger
Hiyo biashara ya kujitia kitanzi mwenyewe siwezi fanya.
 
Walimu wetu wataisha sasa
 
Useng sana kumsamehe mwanamke msaliti. Mimi mke wangu akinisaliti navunja ndoa hapo hapo.
Ni udhaifu mkubwa sana kumsamehe mwanamke mchepukaji.
100% upo sahihi- yaani utamu wote uliopo kwenye Konyagi, Nyama choma! Nije niteseke na Binti ya mtu ! Hapana aisee. Mimi naachana ane naendelea na life yangu. Atujazaliwa pamoja why nipate shida zote hizi
 
Mi nadhani dawa ni kutooa moja kwa moja, weka ndani zalisha, na usiishi nyumba uliyojenga, kama umejenga pangisha halafu kapange ndo uishi nae, akizongua unaondoka unamuachia nyumba ya kupanga hadi akili imkae sawa…, akijirudi maisha yanaendelea
 
Sio kweli,hakuna dini inazuia kuachana,tatizo linakuja pale mwanamme mwenye akili timamu anaenda kushitaki kanisani eti mke wake kachepuka hivyo anaomba ushauri,sasa wewe kama baba paroko utafanyaje na mbaya zaidi wameongozana kE na mE.


Je utashauri wavunje ndoa au utasema wavumiliane? .
 
Huyo marehemu kakosea sana kumuacha mwanamke anachepuka hadi anamleta mwanaume kwake, eti anaenda kushitaki serikali za mitaa? Huyo sio mwanaume, marehemu alizembea sana, iiiiihhh thubutu najua angekutana na wengine kama sisi hata asingewazia kufanya ushenzi wa aina yoyote, angejikuta yuko kwao haraka sana, alafu kabla ya kuoa angalieni familia wanazotoka hawa viumbe, wengine ni malaya na mashetani sana alafu unaoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…