Morogoro Day Trip: Kwa Wakazi wa Dar & Pwani

Morogoro Day Trip: Kwa Wakazi wa Dar & Pwani

No unasogea mbele zaidi unaipita hadi Kidatu, ni national park kabisa kuna Geti unaingia nadhani ukiulizia watakuelekeza zaidi huko njiani then wale tour guides ndio watakuelekeza pa kuikuta Sanje Trail, sijajua ukitaka kupanda mwenyewe inakuwaje maana sisi tulipanda na tour guides
Kuna fees zozote kuingia na kupita hizo gates, na pia tour guides wanatoza bei gani?
 
😂😂😂Hakika utapewa medani ya ushujaa
Hiking ni kipengele yaani uwe wa mazoezi kweli kweli...me sio mpenzi kabisa wa hiking ni mkumbo tu....yaani uandae vigimbi shogaangu 🤣🤣
 
Back
Top Bottom