Morogoro Day Trip: Kwa Wakazi wa Dar & Pwani

Morogoro Day Trip: Kwa Wakazi wa Dar & Pwani

Uzi mzuri sana huu
Wapenda nature lazima tuufanyie kazi
Nikishindwa kwa mguu hata boda ntapanda mradi nikazione choma waterfalls nifanye na meditation!
 
Plan Master usije 😂😂😂

Yan mwal utaenda, utake usitake.. lazima nikubebe tukapate quality time huko njee mbali na kelele za mjini.
Huko mbali ..kuna Materuni hapo kilimanjaro karibu tu.. tukuje Mwl halafu ndo tujue huko kwingine.. Panatazamika kishenzi
 
Wewe si unaenda kupanda vilima vya choma? 🤣🤣🤣🤣
Sasa mabosi mkisafiri si lazima na Mimi niwasindikize,au hamuoni mwenzenu Mond vyenye anasafiri anafanyaje😁😁😁?
 
Sasa mabosi mkisafiri si lazima na Mimi niwasindikize,au hamuoni mwenzenu Mond vyenye anasafiri anafanyaje😁😁😁?
Nakwambia twende Mafia tukale samaki za kuchoma, we umekomalia kwenda kupanda vilima!! Mwisho uote vigimbi 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom