Morogoro Day Trip: Kwa Wakazi wa Dar & Pwani

Mada yangu bora kwa mwaka huu, welldone mtoa mada na umenirudisha nyuma sana na nimekumbuka mengi sana,nilikua scout na badge yangu ya first class niliipatia pale BAHATI CAMP, nimebahatika hadi kufika morning side hadi pale kwenye mnara wa simu, utalii wa ndani ni mzuri mno kuchochea maendeleo ya ndani, yes hii nayo ninaiweka kwenye bucket list yangu InshaAllah
 
Mbona hamuongelei RIGHT title contender? Are U underating the jogoo?
 
Sasa imagine natoka mjini naenda porini kukutana na mijoka. Hell no wacha nitulie zangu Ubungo tu nikitaka leisure time naenda Mlimani City kupata coffee nashangaa mizigo wee hadi nikiridhika nafsi narudi zangu kulala.
Usiogope ,nyoka nao wanakuwa kwenye matanuzi yao hawana shida hadi uwachokoze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…