Morogoro: Dereva bodaboda auawa, atobolewa macho

Ile nayo ni ya kweli au ni mbinu tu ya polisi kubaini mwizi?

Nauliza
 
Hakuna ukweli wowote kuhusu kiini cha macho kutunza picha. Ila wauaji wengi wa Bongo ndivyo wanavyoamini ndiyo maana wanatoboa macho wanapooua.
 
RIP boda boda
[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Wake za watu sumu
Ukiona mke wako anatembea na bodaboda au ametembea na mwanamme mwingi basi wa kulaumiwa na huyo mke. Ni kweli mtu unaweza kuwa na hasira sana hasa unapoona mwanaume aliyetembea na mke wako amefanya hivyo huku akijua ni mke wa mtu na hii inaonyesha ana dharau mwenye mke, lakini tuwe wakweli, mwenye kosa kubwa ni mke wako. Na zaidi ukiona mke wako ametembea na bodaboda basi huyo hafai kabisa kabisa ni kumtimua kama mbwa koko.
 
Kula chuma hicho, ukifanya upumbavu kitachokukuta ni shauri yako...
Hayo mauwaji hayana usiano na mapenzi,ni unyanganyi, ingekua kisasi chombo kisingechukuliwa, atakae kutwa na chombo ataliwa kichwa na Mahakama!!
 
Mwanaume ndiye mtu mwenye akili timamu tangu Dunia inaumbwa


Mwanamke ni kiumbe dhaifu sana licha ya wadhifa na cheo kikubwa alichonacho bado ukimuimbisha vizuri unapiga.

Licha ya kupewa Kila kitu bado mwanamke anaweza kutembea na bonge la fala yaani ili mradi lijue kutongoza.

Mwanamke hajui anataka nini,
Mwanaume nitakaye msamehe ni yule atakayetembea na mke wangu bila kujua

Lakini Kuna vidume wanakujua wanamleta hadi kwako mkeo Kisha anakucheka na kukutangazia, lengo akuvue utu weeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…