Hamna mahali paliposema kuwa picha ibandikwe kwenye fomu. Mara nyingi unapotakiwa kubandika picha kwenye fomu kunakuwa na kiboksi cha kuonyesha mahali pa kuibandika picha hiyo. Kwa hali hii picha zinaweza kuwasilishwa peke yake au hata kubandikwa nyuma ya fomu.
Amandla...
Na wengine wote walikosea kitu gani??Na angebandika picha wangesema ameharibu fomu maana ameweka picha sehemu isiyostahiki.
CCM Mpya waoga sana, hawakosi visingizio.
Chama kingesimamia hatua zote kuondoa utata.Jina lenyewe Minja!hawezi kuachia pesa huyo,chadema msipoteze nguvu zenu
Ni ujinga wa kiwango cha juu kuliko. Mgombea anapowasilisha fomu kwani hakuna chech list, wanakaa pamoja na msimamizi na kama kuna kitu kimepungua anaambiwa? Kwa nini wanafanya kama ni uchaguzi wa kutegeana.Jambo dogo hilo , msimamizi tekeleza wajibu wako.
Na wengine wote walikosea kitu gani??
Unaweza kufanya kosa dogo tu, wenzako wakatumia kosa hilo kukuadhibuUonevu mtupu. Hizo picha si ni kumwambia akapige tu kisha azilete?
Sasa asubuhi walitaka wamkamate kwa kosa gani?
Ni ujinga wa kiwango cha juu kuliko. Mgombea anapowasilisha fomu kwani hakuna chech list, wanakaa pamoja na msimamizi na kama kuna kitu kimepungua anaambiwa? Kwa nini wanafanya kama ni uchaguzi wa kutegeana.
Hivi kweli hiyo inatosha kumnyima mtu haki ya kuchaguliwa?. Uhuru wa tume utaonekana kwa kwa kuchukua hatuwa kwenye matukio kama hayo.Jambo dogo hilo , msimamizi tekeleza wajibu wako.