KANYIMBI
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,167
- 4,374
Kuambatanisha picha maana yake unapokabidhi form zako unawapa na picha zako, hujaambiwa ubandike kwenye form. unaweza hata ukazibana na pini kwenye Bahasha ndogo.Ukisoma vizuri maelekezo ya ujazaji form no.4 wameainisha kabisa..picha 4 ziambatanishwe
Sent using Jamii Forums mobile app