Uchaguzi 2020 Morogoro: Devotha Minja amewasilisha fomu bila picha kitendo kinachomnyima sifa ya kuwa Mgombea

Uchaguzi 2020 Morogoro: Devotha Minja amewasilisha fomu bila picha kitendo kinachomnyima sifa ya kuwa Mgombea

Mantiki yangu ni kuwa kurudisha fomu kusiwe na mitego ya kijinga. Makosa madogo kama kutokuwa na picha siyo ya kufanya mtu asigombee. Tume inatakiwa kufanya kazi kisomi kwa kutumia busara na siyo kwa mitego ya kijinga kabisa. (hapa nimejibu nuki-assume ni kweli alisahau picha kwani ''makosa'' mengi ya wapinzani ni kutengenezwa).
Kwa hiyo makosa ya kijinga kila siku wakafanya chadema tu?mbona Act na cuf hatusikii walisahau picha au kugonga muhuri?
Angalieni wagombea wenu,inawezekana wamejihujumu makusudi,huku mnatokwa mapovu bure mitandaoni
 
Mchaga huyo. Keshauza jiko kwa Abood.
 
Wakati tunalaumu Tume ya Uchaguzi kuna makosa ambayo yanaepukika kama hili la Devota Minja ni makosa ya Kitoto yanayofanywa na aliyekua Mbunge.

CHADEMA mchunguzeni huyu kuna viashiria vya Rushwa iliyopelekea kujaza Form hovyo pasipo kuambatanisha viambatanisho muhimu kama Picha.

Unaenda Kugombea Nafasi kubwa kama hiyo lakini Form yako hata kuikagua unashindwa?

Picha za Form zimeambatanishwa hapa chini kwa marejeo.

View attachment 1547771View attachment 1547772
Uchunguzi unahitajika.
Ikiwa hakufanikiwa kurejesha fomu kw sababu ya kukamatwa kwake

hiyo imepatikana wapi?

Huoni inaweza kuwa ni kopi mpya tofauti na aliyoijaza awali?

Ha alikuwa anakamatwa muda wa kurejesha fomu kwa sababu zipi?
 
..sasa si wampe nafasi awape hiyo picha?

..wasimamizi wanatakiwa wawezesha wananchi kugombea, na siyo kuwa kikwazo cha wananchi kugombea nafasi.
hivi ndivyo inapaswa kuwa, ajabu kwa kufanya hivyo mkurugenzi atakuwa kamfurahisha jiwe kishenzi...yule dingi ana roho mbaya sn tofauti kbs na tunavyomuona makanisani!.
 
Mtu kakaa na fomu wiki nzima. Leo mnamuambia msimamizi wa uchaguzi ampe muda. Sheria ndo inavyosema hivyo?
Kusahau ni kosa la kibinadamu. Lakini pia ni kosa kubwa kwani ni kielelezo cha uhalisi na uhalali wa mwenyefomu. Umuhimu wa picha sawa na sahihi.( signature)
 
Morogoro Mjini imefutwa. Wanafikiri watu hawaoni eti! Hiyo ya jimbo lingine. Morogoro Mijini imeongezwa tu juu yake. Yaweza pia kuwa kopi ya rangi.
Hilo nafasi ya jimbo la uchaguzi mbona kama mmefutafuta? Hapo mjini ni vilaza kwa hiyo mpaka hata wagombea wengine waenguliwe?
 
Aliyefuta hapo kwenye "Morogoro Mjini" kwa correction fluid ni Devotha Minja? Na aliyekupa picha ya fomu ya Esther Bulaya ni Devotha ama Esther? Mnajifanya wasimamizi wa uchaguzi kumbe ni maCCM tu. Mashetani wakubwa nyie.
Wakati tunalaumu Tume ya Uchaguzi kuna makosa ambayo yanaepukika kama hili la Devota Minja ni makosa ya Kitoto yanayofanywa na aliyekua Mbunge.

CHADEMA mchunguzeni huyu kuna viashiria vya Rushwa iliyopelekea kujaza Form hovyo pasipo kuambatanisha viambatanisho muhimu kama Picha.

Unaenda Kugombea Nafasi kubwa kama hiyo lakini Form yako hata kuikagua unashindwa?

Picha za Form zimeambatanishwa hapa chini kwa marejeo.

View attachment 1547771View attachment 1547772
 
Lakini mbona fomu haioneshi sehemu ya kubandika picha sasa wanataka ujuwaje kama kuna sehemu ya kubandika Picha au ndo kujaza fomu kwa mazoea
 
Enzi za Mwinyi, Kikwete na Mkapa fomu gani zilikua zinatumika? fomu zimebadilika? fomu kukosa picha au kukosea umri kunamkoseshajemtu nafasi ya kuchagua au kuchaguliwa? Kuna upumbavu mwingi sana unaendelea nchi hii awamu hii ila wasidhani haya yatapita hivihivi!
 
Huo nao ni upuuzi mwingine. kama unataka mtu aweke picha, unaweka kisanduku cha picha na maneno ndani yake kuwa bandika picha hapa? Mbona za benki na sehemu nyingine hazina utata?
Lakini mbona fomu haioneshi sehemu ya kubandika picha sasa wanataka ujuwaje kama kuna sehemu ya kubandika Picha au ndo kujaza fomu kwa mazoea
 
Unaweza kufanya kosa dogo tu, wenzako wakatumia kosa hilo kukuadhibu
We ulitaka akumbushwe na nani?
Makosa madogo Kama yalitughalimu wale ma ccm wakachukua vijiji na vitongoji vyote.

Fomu hazina kiboksi cha kubandika picha, hivyo kubandika picha ni kuchafua fomu.

Rejea Kibam
ba wakati wa kuchukua fomu, "Kanuni hazielekezi Mgombea kuacha picha wala namba ya simu"

MUHIMU:-
FOMU HAZINA BOKSI LA KUBANDIKA PICHA.

WOTE WALIOBANDIKA PICHA, HAKUNA KANUNI YA KUBANDIKA PICHA, WAMECHAFUA FOMU.

ZOTE ZENYE PICHA ZIFUTWE.
 
Wakati tunalaumu Tume ya Uchaguzi kuna makosa ambayo yanaepukika kama hili la Devota Minja ni makosa ya Kitoto yanayofanywa na aliyekua Mbunge.

CHADEMA mchunguzeni huyu kuna viashiria vya Rushwa iliyopelekea kujaza Form hovyo pasipo kuambatanisha viambatanisho muhimu kama Picha.

Unaenda Kugombea Nafasi kubwa kama hiyo lakini Form yako hata kuikagua unashindwa?

Picha za Form zimeambatanishwa hapa chini kwa marejeo.

View attachment 1547771View attachment 1547772

KUNA SEHEMU YA KUBANDIKA PICHA KWENYE HIZO FOMU?

LETE HAPA KANUNI INAYOELEKEZA KUBANDIKA PICHA.
 
Hivi kweli hiyo inatosha kumnyima mtu haki ya kuchaguliwa?. Uhuru wa tume utaonekana kwa kwa kuchukua hatuwa kwenye matukio kama hayo.
Huu ni ushahidi kwamba NEC inashirikiana na chama Tawala kuonea wapinzani. Mbona hakuna mgombea wa CCM anaefanyiwa hivi?
 
Back
Top Bottom