macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hili sio tatizo la Chadema bali ni tatizo la tume. Watu tumebarikiwa kuwa na akili kuliko nyani lakini wao tume wanafanya mambo ya kijinga kuliko hata nyani wenyewe!Chadema wanasahau ya muhimu.. wanapoteza muda kutunga matukio.. safi sana..
Hawajifunzi na watajiju..
Magufuli 2020 💯
Mbona mlishaambiwa mjaze form na mawakili sasa mna shindwa nini?Hili sio tatizo la Chadema bali ni tatizo la tume. Watu tumebarikiwa kuwa na akili kuliko nyani lakini wao tume wanafanya mambo ya kijinga kuliko hata nyani wenyewe!
Kusahau picha ni tatizo la tume?Hili sio tatizo la Chadema bali ni tatizo la tume. Watu tumebarikiwa kuwa na akili kuliko nyani lakini wao tume wanafanya mambo ya kijinga kuliko hata nyani wenyewe!
Mantiki yangu ni kuwa kurudisha fomu kusiwe na mitego ya kijinga. Makosa madogo kama kutokuwa na picha siyo ya kufanya mtu asigombee. Tume inatakiwa kufanya kazi kisomi kwa kutumia busara na siyo kwa mitego ya kijinga kabisa. (hapa nimejibu nuki-assume ni kweli alisahau picha kwani ''makosa'' mengi ya wapinzani ni kutengenezwa).Kusahau picha ni tatizo la tume?
Kwa taarifa yako mimi sishiki kwenye uchaguzi, siyo kwa kupiga kura wala kupigiwa kura. Natoa amoni yangu yatakayonya tume isionekane ina watu idiots. Vizazi vijavyo vitashangaa sana tume ilikuwa inaongozwa na mtu aliyefikia kwenye level ya ujaji kufanya kazi kwa njia za kitoto namna hii.Mbona mlishaambiwa mjaze form na mawakili sasa mna shindwa nini?
Mna wasomi wengi ila kazi hawana?
Hizo pesa za ruzuku zinfanya kazi gani?
Bush LawyerHamna mahali paliposema kuwa picha ibandikwe kwenye fomu. Mara nyingi unapotakiwa kubandika picha kwenye fomu kunakuwa na kiboksi cha kuonyesha mahali pa kuibandika picha hiyo. Kwa hali hii picha zinaweza kuwasilishwa peke yake au hata kubandikwa nyuma ya fomu.
Amandla...
Mtu kakaa na fomu wiki nzima. Leo mnamuambia msimamizi wa uchaguzi ampe muda. Sheria ndo inavyosema hivyo?..sasa si wampe nafasi awape hiyo picha?
..wasimamizi wanatakiwa wawezesha wananchi kugombea, na siyo kuwa kikwazo cha wananchi kugombea nafasi.
Bush Lawyer
Katafute maana ya Bush Lawyer utaelewaTangu lini Fundi Mchundo amekuwa Learned Person wa bush au otherwise?
Amandla...
Katafute maana ya Bush Lawyer utaelewa
Unajua watu wengi hawajui sababu ya vigezo vya kugombea ni lazima ujue kusoma na kuandika..SASA usipojaza fomu vizuri Kwa kufata maelezo yaliyoandikwa Kwa Kiswahili tafsiri yake inakua kwamba hujui kusoma au kuandika au vyote Kwa pamoja.
Kuna wakati nasi wapinzani tuwe makini na watu wetu.Sasa asubuhi walitaka wamkamate kwa kosa gani?
Jambo dogo hilo , msimamizi tekeleza wajibu wako.
Ume dhulumiwa nini?Eti dosari siku zote ni kwa wapinzani tu ccm hawafanyi makosa..!! Hakuna nchi inayoweza kuendelea huku ikidhulumu wananchi wake.
Uzembe hayuko makini,passport size unaenda nazo wanabandika wao,kwenye form hapo no 4,pameandikwa vizuri tuuWakati tunalaumu Tume ya Uchaguzi kuna makosa ambayo yanaepukika kama hili la Devota Minja ni makosa ya Kitoto yanayofanywa na aliyekua Mbunge.
CHADEMA mchunguzeni huyu kuna viashiria vya Rushwa iliyopelekea kujaza Form hovyo pasipo kuambatanisha viambatanisho muhimu kama Picha.
Unaenda Kugombea Nafasi kubwa kama hiyo lakini Form yako hata kuikagua unashindwa?
Picha za Form zimeambatanishwa hapa chini kwa marejeo.
View attachment 1547771View attachment 1547772
Na hapo ndipo wanapofail wengi..huwezi kumpereka MTU Bungeni akatunge Sheria alafu anakosea kusoma na kuandika..SASA akiletewa miswada mabundle ya papers si ndo itakua balaa... mbunge anaweza akawa hajui kujieleza au kujenga hoja but kutokujua kusoma na kuandika Kwa umakini ni sharti muhimu sana kwani huko Bungeni KAZI zao ni sensitive Sana na wakikosea tuu impact ni kubwa Sana.Sio kweli, unaweza kufanya kosa hata kama unajua kusoma na kuandika