Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Mwili wa mwanafunzi Yulia Samson Difrata, mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Chigela, umeondolewa eneo la ajali, katika Kijiji cha Tabu Hotel, Kitongoji cha Stendi, wilayani Gairo, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa mwanafunzi huyo amegongwa na gari la serikali ambalo halikusimama baada ya kumgonga.
Adui wa Mwafrika ni mwafrika mwenyewe! Mungu tusaidie sana! Poleni kwa familia ya Yulia Samson Difrata. Mpaka natetemeka sijui hawa watu wana roho gani tu?