Morogoro is my Third Home hivyo naomba kujua kuna nini Kinaendelea huko hadi hii hali imetokea?

Morogoro is my Third Home hivyo naomba kujua kuna nini Kinaendelea huko hadi hii hali imetokea?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
MOROGORO - Moto mkubwa unavyoteketeza safu ya milima ya Uluguru kwa zaidi ya wiki moja sasa , milima hiyo ina umuhimu wa kipekee kwa kuwa ni vyanzo upatikanaji wa maji yanayotegemewa na wananchi wa Manispaa ya Morogoro na mikoa jirani.

Chanzo: habarileo_tz

Mdogo wangu wa damu kabisa steveachi na wengineo mlioko Morogoro kulikoni? Tafadhali hebu tujalieni Taarifa Ok?
 
Wanachoma nyasi mashambani moto unasambaa
 
Ni kawaida sanaaaaa.....kiangazi tu huchoma moto mashamba hadi mlima huunguaa
 
Back
Top Bottom