Morogoro: Jovita adaiwa kumuua mumewe kisa kanyimwa unyumba

Morogoro: Jovita adaiwa kumuua mumewe kisa kanyimwa unyumba

Nashangaaa siku hizi Dildo za kila aina zipo, acha hiyo kuna vijana wako desperate mtaani,mbona angeibukia huko angesarandiwa bureee.
Na kiu yake ingekata,Lol
😂😂😂😂
Huyo dada anaweza kua ana vinasaba vya UKURYA.

Niliwai chomwa na pasi na wife mkononiiiii kipindi tuna date ila Ali ni ahidi hawezi rudia tena abadanii.
 
Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Abel Charles, Mkazi wa Mtaa wa Mambi, Kata ya Mafisa, Manispaa ya Morogoro amefariki dunia baada ya kudaiwa kushambuliwa kwa panga na Mke wake wakati wakiwa nyumbani usiku.

AyoTV imefika katika eneo la tukio na kuzungumza na Mjumbe wa Mtaa huo ambaye amesema alipokea taarifa kutoka kwa Mpangaji katika nyumba hiyo kwamba wakati wa usiku vilisikika vishindo vikubwa kutoka katika chumba walichokuwa wakiishi wawili hao.

Kwa mujibu wa Mjumbe huyo, asubuhi Mwanamke anayedaiwa kuhusika na tukio hilo alionekana akiwa na majeraha mdomoni na alipoulizwa Mume wake alipo, inadaiwa alieleza kuwa alikuwa kazini na kwamba hakuwa na funguo za chumba alichokuwa akilala kutokana na wawili hao kuwa na ugomvi na kulala vyumba tofauti.

Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limetangaza kumkamata Jovita Bateguye Budyo (30), fundi cherehani na Mkazi wa Mafisa, kwa tuhuma za kumuua Mumewe, Abeli Charles (44), Mfanyabiashara na mkazi wa Mafisa.
Jovita si bora ungekuja kwangu! Mimi kwa Babe wangu SweetyCandy miaka nenda ninakula tu kwa macho.
 
Story haijabalance nani kaisoma kwa Millard?.

Utakuta bibiye alikataa kutoa penz km kawaida yao....
 
Huamini?
Jovita analilia ududu hadi nyege zilipanda kichwani kamuua mumewe
Nyie vijana wa JF Acheni kusoma story kwa mihemko! Wangoni wangu nao, hola. Aliyenyimwa unyumba ni mwanaume! ephen_ na cocastic acheni hizo
IMG_7855.jpeg
 
Nashangaaa siku hizi Dildo za kila aina zipo, acha hiyo kuna vijana wako desperate mtaani,mbona angeibukia huko angesarandiwa bureee.
Na kiu yake ingekata,Lol
😂😂😂😂
Mwanamke atakuwa ana sura ya baba
 
Jovita alipaswa aolewe na wanaume wawili.

RIP mume wa Jovi.
Millard Ayo amepotosha habari ,aliyekuwa anataka mzigo ni marehemu Abel ,mke akakataa ndipo ukatokea ugomvi,mke katika kujitetea ndipo alipomchoma mmewe na kitu chenye ncha kali.
 
Marriage is the only war in which you sleep with the enemy in the same Bed.
 
Back
Top Bottom