Morogoro: Kijana Rogers Ludovick adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana

Morogoro: Kijana Rogers Ludovick adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana

Acha upuuzi angetekwa basha wako ungeleta upuuzi huo..
Kwamba huyu mpuuzi katekwa??
Acheni kujaza server za jf kwa mabandiko ya kipuuzi! Hizo cinema mnazo jaribu kutengeneza hazito teteresha chochote! Li mtu lipo kwa hawala zake huko nyie mnabwata bwana hapa
 
Kwa hali ilivyo watekaji wasipofanyiwa vitendo viovu wanavyowatendea raia haki itakuwa haijatendwa namaanisha kubakwa, kulawitiwa na kung'olewa meno na kucha, pia raia wawe na umiliki wa silaha za moto hasa wakosoaji wasiishi kinyonge ndio maoni yangu leo.
 
Kwamba huyu mpuuzi katekwa??
Acheni kujaza server za jf kwa mabandiko ya kipuuzi! Hizo cinema mnazo jaribu kutengeneza hazito teteresha chochote! Li mtu lipo kwa hawala zake huko nyie mnabwata bwana hapa
Mwanaume kuwa na tabia za kike haipendezi pia achakuvaa mashungi ilhali we ni mtoto wa kiume.
 
Write your reply...acheni kutukana hovyo viongozi na watu msio wajua maana drones watawafikia popote pale na hakuna atakae wasaidia
Kitu pekee ninacho appreciate kutoka kwako wewe jamaa ni kuwa mkweli.

Wewe haufichi kabisa kama wenzako, yaan kwnye comments zako huwa unaonesha kabisa kuwa serikali ya mama ako Samia ni serikali dhalimu inayokunywa damu za watanganyika, na wewe mwenyewe ni sehemu ya hao wanaofanikisha uharamia huo big up sana.
 
Kitu watu hawaelewi ni kwa jinsi gani CCM hiko involved na haya mambo ya utekaji.

Yes! Yule bwana Mafwele na kundi lake ni watekaji wakubwa lakini wao wanafanya hivo kwa watu wenye platform kubwa i.e Polepole n.k.

Kwa vijana wa chini hawa wanachukuliwa na vikosi kazi vya CCM. Haijalishi unampinga mama dully au lah! Ikitokea chawa wa CCM amekushuku na kukuripoti kwa kikosi kazi basi wewe ni haki yao.

Unfortunately, hawa machawa watoa taarifa wamo hadi humu mitandaoni wamejaa tele. Kazi yao ni kupeleka majina ya “critics”. Takribani mikoa yote wapo na wamewapa jina kabisa, wanawaita “Drones”.

Safari ni ndefu sana.
Basi kama ndio hivi tuna hatua chache sana kabla hatujaingia kwenye civil war, ambapo hakuna atakaye salimika.

CCM wanachukulia uwoga na utulivu wa watanzania for granted, kiasi kwamba wanawafanya chochote bila kuogopa halafu bado wanawadharau kwa kuimba amani kinafiki.

Kwa hiki ulichokiandika sasa naanza kuamini kweli Abdul kaanda fungu maalamu la kuwamaliza critics wote wa mama ake hata wale wasiokuwa na impact yoyote...

Tayari mpaka sasa iko wazi vyombo vya dola havina tena kazi ya kulinda raia na mali zao, bali viko kwa ajili ya kuwalinda watawala dhidi ya raia.

Naiona kila dalili ya yale yaliyowahi kutokea Rwanda miaka 90s
 
Huyu nae nan? na katekwa kwa nini?
Wengine hawa wanapotea kikawaida tu mnasema katekwa.
Ana Impact gani kwenye jamii atekwe
 
Huyu nae nan? na katekwa kwa nini?
Wengine hawa wanapotea kikawaida tu mnasema katekwa.
Ana Impact gani kwenye jamii atekwe
Yule dogo wa miaka 21 kule Mbeya alikua na impact gani? Mazafaka
 
Uko wapi umoja wa watu wa mtandaoni? Au ni unafiki? Na huyu nae kaenda na hakuna atakaetoka kuandamana ndo maana nikikutana na mtu anajifanya jasiri mtandaoni huwa namuita Nyumbu , mikwara kibao ila ni wasaliti wakubwa.

Wamejificha kwenye kichaka cha kujidai wanasubiri tarehe 29 ila ni unafiki wanaitumia hiyo tarehe kama kichaka cha kuficha unyumbu walionao ila siyo mbali tarehe itafika na unafiki utadhihirika
 
Kwani wewe matendo ya utekaji yanayoendelea yanakufurahisha?
 
Back
Top Bottom