Morogoro: Kijana Rogers Ludovick adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana

Morogoro: Kijana Rogers Ludovick adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana

Uko wapi umoja wa watu wa mtandaoni? Au ni unafiki? Na huyu nae kaenda na hakuna atakaetoka kuandamana ndo maana nikikutana na mtu anajifanya jasiri mtandaoni huwa namuita Nyumbu , mikwara kibao ila ni wasaliti wakubwa.

Wamejificha kwenye kichaka cha kujidai wanasubiri tarehe 29 ila ni unafiki wanaitumia hiyo tarehe kama kichaka cha kuficha unyumbu walionao ila siyo mbali tarehe itafika na unafiki utadhihirika
Umemaliza?
 
Kwani wewe matendo ya utekaji yanayoendelea yanakufurahisha?
Kwa jinsi mlivyo na tabia za kinyumbu acha mtembezewe dozi kichapo kikikolea mtatoa pembe kujitetea ila kwa unyumbu mlionao sasa bado sana.
 
Back
Top Bottom