huu utekaji sasa umekuwa ni fasheni, yeyote anaweza kutekwa akiisema mamlaka isivyopenda. Naambiwa kuna wanaa wanafanya doria mitandaoni!Naambiwa alihoji elimu ya kiongozi wa Afughanstan kupitia page ya wachokonozi
Not only of the day, but of the throneAbduction has become an order of the day
Atakuwa ametolewa kwenye mrija wa ulaji. Wapo wengi tu zamani walikuwa wanaisifia ccm na viongozi wake. Ila baada ya kutolewa nje ya mfumo, wamejikuta na wenyewe kwenye kundi la upinzani.Mkuu ulikuwa sehemu ya ccm lakin,au umehama?
Haya mimi nakutukana "mbwa wewe"Write your reply...acheni kutukana hovyo viongozi na watu msio wajua maana drones watawafikia popote pale na hakuna atakae wasaidia
Acha upuuzi angetekwa basha wako ungeleta upuuzi huo..Na huyu katekwa na ccm eeh au mafwele! Vijana acheni kuvuta bangi!
Fanyeni kazi kwa ustawi wa familia zenu!
Kwamba huyu mpuuzi katekwa??Acha upuuzi angetekwa basha wako ungeleta upuuzi huo..
Mwanaume kuwa na tabia za kike haipendezi pia achakuvaa mashungi ilhali we ni mtoto wa kiume.Kwamba huyu mpuuzi katekwa??
Acheni kujaza server za jf kwa mabandiko ya kipuuzi! Hizo cinema mnazo jaribu kutengeneza hazito teteresha chochote! Li mtu lipo kwa hawala zake huko nyie mnabwata bwana hapa
Nasubiri kuche niwapigie ndugu zake ili kupata ukweli ! huyu Rodger anafanya biashara ya uwakala wa mifumo ya kifedha hapo Dumila sokoni..
Kitu pekee ninacho appreciate kutoka kwako wewe jamaa ni kuwa mkweli.Write your reply...acheni kutukana hovyo viongozi na watu msio wajua maana drones watawafikia popote pale na hakuna atakae wasaidia
Basi kama ndio hivi tuna hatua chache sana kabla hatujaingia kwenye civil war, ambapo hakuna atakaye salimika.Kitu watu hawaelewi ni kwa jinsi gani CCM hiko involved na haya mambo ya utekaji.
Yes! Yule bwana Mafwele na kundi lake ni watekaji wakubwa lakini wao wanafanya hivo kwa watu wenye platform kubwa i.e Polepole n.k.
Kwa vijana wa chini hawa wanachukuliwa na vikosi kazi vya CCM. Haijalishi unampinga mama dully au lah! Ikitokea chawa wa CCM amekushuku na kukuripoti kwa kikosi kazi basi wewe ni haki yao.
Unfortunately, hawa machawa watoa taarifa wamo hadi humu mitandaoni wamejaa tele. Kazi yao ni kupeleka majina ya “critics”. Takribani mikoa yote wapo na wamewapa jina kabisa, wanawaita “Drones”.
Safari ni ndefu sana.
Huyo si mwanaume ni Mwanamke na amezaa baada ya kufirwa kwa muda mrefu sana ndio maana anaandika ujingaMwanaume kuwa na tabia za kike haipendezi pia achakuvaa mashungi ilhali we ni mtoto wa kiume.
Yule dogo wa miaka 21 kule Mbeya alikua na impact gani? MazafakaHuyu nae nan? na katekwa kwa nini?
Wengine hawa wanapotea kikawaida tu mnasema katekwa.
Ana Impact gani kwenye jamii atekwe
Kwani wewe matendo ya utekaji yanayoendelea yanakufurahisha?Uko wapi umoja wa watu wa mtandaoni? Au ni unafiki? Na huyu nae kaenda na hakuna atakaetoka kuandamana ndo maana nikikutana na mtu anajifanya jasiri mtandaoni huwa namuita Nyumbu , mikwara kibao ila ni wasaliti wakubwa.
Wamejificha kwenye kichaka cha kujidai wanasubiri tarehe 29 ila ni unafiki wanaitumia hiyo tarehe kama kichaka cha kuficha unyumbu walionao ila siyo mbali tarehe itafika na unafiki utadhihirika