Hapana mkuu, hili ni swala la kijamii.Watajuana wenyewe. Wewe endelea tu na maisha yako mkuu.
Jibu mujarabu kabisa, ya Ngoswe aachiwe Ngoswe.Watajuana wenyewe. Wewe endelea tu na maisha yako mkuu.
Hapo vimeumanaπ! Kazi iendeleeβ!Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba hakutakuwa na shida huko baadae? Wakati Hawa wakiimba mapambio huku wengine wanapiga adhana.
Mods naomba msifute huu Uzi.
Sio masista ndio wakawatamani mashekhe na kuwabinjukia ukutani kwa kuwa huku upande wao huko kwao hawapigwi mshipaSheikh asije akatamani ma Sista
kuwa mstarabu wa lugha unapochangia hojaSio masista ndio wakawatamani mashekhe na kuwabinjukia ukutani kwa kuwa huku upande wao huko kwao hawapigwi mshipa
Anza kwanza kumwambia huyo aliyesema shekhe anaweza kumtamani sister,,,, ambae mie nimemjibu kisha urudi kwangu ili niedit comment yangukuwa mstarabu wa lugha unapochangia hoja
Siyo kila dhehebu lina masista.Sheikh asije akatamani ma Sista
Aiseeeee πππππSheikh asije akatamani ma Sista