Morogoro: Kuna sehemu kunajengwa msikiti mkubwa unaopakana ukuta na kanisa, Je hii imekaaje?

Usiishi kupitia makosa ya wengine, ishi kwa misingi yako mizuri
Sio humu jf,,, humu ukizingua tunazinguana, mbona jamaa kakashifu mashekhe na hakuna mtu yoyote aliemuatack? Kwani mimi kosa langu lipi hapo? Nimemjibu coment yake kama alivyoileta
 
Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba hakutakuwa na shida huko baadae? Wakati Hawa wakiimba mapambio huku wengine wanapiga adhana.

Mods naomba msifute huu Uzi.
Mbona pale israel wanashea hadi mlango mmoja ndani ukiingia kama mkristo unaelekea kulia kama mslam kushoto jengo moja ukuta ndani ndo umetenganisha tuu mpaka leo wanasali fresh tuu
 
Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba hakutakuwa na shida huko baadae? Wakati Hawa wakiimba mapambio huku wengine wanapiga adhana.

Mods naomba msifute huu Uzi.
Kama kuna kosa unahisi litakuwa la taasisi ipi? Inayojenga au iliyotoa kiwanja?
 
Watachofanya hapo ni kuwa na remix na kuazimana vyombo na maspika ili kuwaburudisha waumini wao....
 
Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba hakutakuwa na shida huko baadae? Wakati Hawa wakiimba mapambio huku wengine wanapiga adhana.

Mods naomba msifute huu Uzi.
Huko mbali, njoo hapa Kihonda Polister uone Msikiti uliopakana na KKKT na hauna miaka mitano!
 
Bora hapo mkuu,Bigwa kuna kanisa la walokole limepakana na fensi ya majani na baa mpya ndi ipo kwenye finishing,na inasemekana baa ina ukumbi wa disko
 
Kuna Mchungaji mmoja Keko na yeye alifunga spika nje kujibu mapigo ya kelele za msikiti. Sijui ile ligi iliishia wapi, ni miaka imepita.
 
Kwa morogoro kawaida, pale area5 nanenane kuna msikiti mkabala na kanisa la wakapchini
 
It

So hii inahitimisha mjadala Moro ni icon kwa ustahimikivu wa kidini .
 
Mungu moja! Jesus na Mtume hawana ugomvi huko mbinguni nyie vijana wao ndo m a fujo tu huku. Waache wakae pamoja
 
Hakuna shida kwa maana ratiba zao za ibada haziingiliani.
Ni kama darajani oilcom mali asili msikiti na kanisa vimepakana.Na Hakuna mikwaruzano yeyeto lugha ya kiswahili imetuunganisha
Halafu mleta uzi,ajuwe,asilimia kubwa ya watanzania,familia nyingi ziko nusu wakristo na nusu waislamu,hasa maeneo ya Pwani,na wanashirikiana kwenye huzuni na furaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba hakutakuwa na shida huko baadae? Wakati Hawa wakiimba mapambio huku wengine wanapiga adhana.

Mods naomba msifute huu Uzi.
Inawezekana, hoja kuheshimiana tu ....

stonetown-of-zanzibar-with-st-josephs-cathedral-and-mosque-tanzania-CXXHMC.jpg

IMG_20200701_124432_237_1593853024591.jpg
 
Nimeona juzi nikasema hiyo ni ticking bomb, tick tock,
Pembeni kushoto, kuna Pentecostal, kulia kuna wasabato, mbele kidogo wakatoliki, ukizunguka nyuma kidogo KKKT Bungo...

Hiiiiiiii bagoshaaaa!

Everyday is Saturday................................😎
 
Back
Top Bottom