Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Sio humu jf,,, humu ukizingua tunazinguana, mbona jamaa kakashifu mashekhe na hakuna mtu yoyote aliemuatack? Kwani mimi kosa langu lipi hapo? Nimemjibu coment yake kama alivyoiletaUsiishi kupitia makosa ya wengine, ishi kwa misingi yako mizuri
Na watakaoleta shida wanafahamika.Nipo naishi mitaa hii hii karibu, ipo shida naiona siku za usoni! Msikiti umepakana na kanisa......
Mbona pale israel wanashea hadi mlango mmoja ndani ukiingia kama mkristo unaelekea kulia kama mslam kushoto jengo moja ukuta ndani ndo umetenganisha tuu mpaka leo wanasali fresh tuuManispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba hakutakuwa na shida huko baadae? Wakati Hawa wakiimba mapambio huku wengine wanapiga adhana.
Mods naomba msifute huu Uzi.
Sio mbaya ni kama mbwa kula mkia wakeSheikh asije akatamani ma Sista
Kama kuna kosa unahisi litakuwa la taasisi ipi? Inayojenga au iliyotoa kiwanja?Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba hakutakuwa na shida huko baadae? Wakati Hawa wakiimba mapambio huku wengine wanapiga adhana.
Mods naomba msifute huu Uzi.
Sista haolewi,padri haoi,wanakaa na kufanys kazi pamoja,jiongezeAiseee masista wakali usiombe ukutane na bikra mtu mzima...
Mods msinipige ban
Mashekhe wamepewa Kashifa ipi??.Tatizo lenu ndo hilo,, kunyata anyate kinyonga, akinyata kicheche anavizia kuku,, mbona huyo alienza kashfa kwa mashekhe asemwi, nasimangwa mie tu
Ni jumamosi,ni kanisa la WasabatoKawaida,kwan shida iko wapi...ijumaa mwingine jumapili.Tatizo waliotuletea hiz dini waliache magomvi aman wakaondoka nayo.Hapo mpaka mtapigana kiboyaboya tu
Huko mbali, njoo hapa Kihonda Polister uone Msikiti uliopakana na KKKT na hauna miaka mitano!Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba hakutakuwa na shida huko baadae? Wakati Hawa wakiimba mapambio huku wengine wanapiga adhana.
Mods naomba msifute huu Uzi.
Ha ha ha Mchungaji aliupiga mwingi.Atakuwa alikatwa kichwa na dini ya mnyazi
Halafu mleta uzi,ajuwe,asilimia kubwa ya watanzania,familia nyingi ziko nusu wakristo na nusu waislamu,hasa maeneo ya Pwani,na wanashirikiana kwenye huzuni na furaha.Hakuna shida kwa maana ratiba zao za ibada haziingiliani.
Ni kama darajani oilcom mali asili msikiti na kanisa vimepakana.Na Hakuna mikwaruzano yeyeto lugha ya kiswahili imetuunganisha
Inawezekana, hoja kuheshimiana tu ....Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba hakutakuwa na shida huko baadae? Wakati Hawa wakiimba mapambio huku wengine wanapiga adhana.
Mods naomba msifute huu Uzi.