Mods ndio wana update hiyo heading.uliandika watu 100 walifariki kabla hata hawajafikia idadi hiyo ,naona lengo la heading yako limetimia
Wakiongezeka wanaongeza hapo kwenye heading.
Mods ndio wana update hiyo heading.uliandika watu 100 walifariki kabla hata hawajafikia idadi hiyo ,naona lengo la heading yako limetimia
hata elimu ya kutoua tumefunza kanisani lakini azory, ben saa nane, wote wamefanyiwa, nani mhusika hatujuiUzuri elimu wanayo tumefundishwa toka primary lakini tamaa ndio ina waponza ni msiba mzito pole kwa wafiwa tamaa mbele mauti nyuma
Nimeufanyia kazi ushauri wako asante sanaMkuu badili tittle na uutupie tena, mode wanazingua sometyme
Yaani naona wambebaki 11Write your reply...Anayeedit idadi ya waliokufa mbona haedit idadi ya majeruhi? Kwa sababu hao majeruhi 70 saa hizi wamepungua wengi wamekufa.
Moderator wapo sawa kuunganisha uzi wako...ni muendelezo wa habari kuu....Moderator on duty... Tafadhali punguza kukurupuka... Soma maudhui uyaelewe kabla hujaamua kuchukua maamuzi
Nina hakika ungesoma hiki nilichoandika usingechukua uamuzi wa kuunganisha huu uzi... Wewe umesoma heading tu ukaona inafaa kuunganishwa huku... Mnaiangusha JF
Good#HABARI Hospitali ya Muhimbili imethibitisha kuwa, majeruhi 3 kati ya 11 wa ajali ya moto Morogoro waliokuwa wamelazwa Hospitalini hapo, wameruhusiwa kurudi nyumbani baada ya afya zao kuimarika wakati mgonjwa 1 bado yupo ICU na wengine wapo wodi ya kawaida wakiendelea na matibabu https://t.co/siPDXAB4bp
Umekumbuka nini kama sio kukumbushana machungu tu..Sijui idadi ilikomea 104 hapo hapo!!
Majibu ya ile tume yalishatolewa?Umekumbuka nini kama sio kukumbushana machungu tu..
Aisee sikumbukiMajibu ya ile tume yalishatolewa?