Pre GE2025 Morogoro: Mbunge Abood, amegusa maisha ya Wananchi kwa Miradi ya Maendeleo

Pre GE2025 Morogoro: Mbunge Abood, amegusa maisha ya Wananchi kwa Miradi ya Maendeleo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakati anawanyoonya sanaa wote Redio ni abood Fm usafiri kuenda dar au Dodoma basi zaku tu, msaada social responsibility yake ni ambulance tu, mjinga ni mjinga.
Ni kama sisi tunategemea mzanzibar atuletee maendeleo
 
Ni kama sisi tunategemea mzanzibar atuletee maendeleo
Watanganyika wanajua hilo ila hawana uwezo wa kupindua system walio wekewa, ila nawanyewe ni wajinga wanakuja kumsifia Nyerere wakahi Nyerere ndo chanzo cha katiba mbovu na muungano wa Zaxibar na Tanganyika.
 
Abood ni miongoni mwa wabunge wa hovyo, ambao CCM inawavumilia.
Kashindwa kutatua
1.Ubovu wa barabara na miundombinu.
2.Maji ni shida sana Morogoro.
3.Kuna mitaa mingi haijafikiwa na umeme,manispaa.

In short, anachoweza ni kutoa bus za kwenda kwenye mazishi.
Na kukaa kimya bungeni.
 
Mji umejaa guta na Bowser zinazouza maji. Mabomba hayatoi maji hayo maendeleo yapi aliyoleta maji ni changamoto ya kudumu miaka nenda rudi. Miundombinu ya shule ya ni chakavu kupitiliza. Labda kaleta maendeleo ya familia yake.
 
Hebu aache siasa, awe Mwananchi wa kawaida afu awape misaada,vinginevyo hiyo ni form of hongo kulinda nafasi yake ya ubunge
 
Back
Top Bottom