minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
CCM hakuna kizuri wamefanya hakuna maendeleo ndiyo maana wanaogopa ushindani toka upinzani, miradi yote mikubwa ina kasoro nyingi ikiwemo ufisadi wa kutisha mno, kampuni saidizi za kusuply vifaa zote ni za mtukufu na rafiki zake wanaccm pesa zote zinawarudia wao wanazidi kuneemeka huku wakijidai wanaleta maendeleo yasiyo na Tija kwa Taifa, CCM wanatumia mabavu kupiga marufuku mikutano ya siasa kwa miaka mitano wakiwa na nia ya kuwazuia wapinzani kuanika ukweli juu ya ufisadi uliopo kwenye miradi yote mikubwa inayoendelea sasa.Hivi inakuaje chama kinajinadi kinefanya mazuri halafu kinaogopa tena..au huwa wanatudanganyaga?