Uchaguzi 2020 Morogoro: Mgombea ubunge wa CHADEMA Bi Devotha Minja awatoroka Polisi waliotaka kumkamata, gari lake lakamatwa

Uchaguzi 2020 Morogoro: Mgombea ubunge wa CHADEMA Bi Devotha Minja awatoroka Polisi waliotaka kumkamata, gari lake lakamatwa

Devota Minja mjanja Fulani Kuna tetesi alienda kutaka kuuza hiyo fomu alipwe akabidhi kwa mnunuzi Kisha asingizie kaporwa alipoona Takukuru wanafuatilia akaingia mitini
Sitoshangaa kwa andiko hili kwani mna asili ya uendawazimu kwenye ukoo wenu.
 
Wewe jamaa huwa nimjinga sana, hivi unajisikia ufahari gani raia wenzako wanapopokonywa haki zao kisa vyama? Hivi na nafsi yako inafarajika kabisa kusikia wenzako wanakamatwa ili wasirudishe form? Kiukweli huwa najiuliza Wana CCM niraia wanchi gani, inawezekana sio Tz yetu iliyojaa upendo wanaoishi hawa viumbe.
Mi nasemaga tupewe siraha tu, tuanze kunyoshana, hakuna cha kuvumialia tena!
 
Mwenyekiti wa timu ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Morogoro mjini kwa tiketi ya CHADEMA na dereva wa mgombea Ubunge wa Morogoro mjini Bi Devotha Minja wamekamatwa na Polisi muda huu huku mgombea huyo akisakwa baada ya kuwatoroka polisi.

Inadaiwa gari yake pia imekamatwa na ilikuwa ni katika harakati za kumteka ili asirejeshe fomu ya ugombea leo.

Aidha sababu za waliokamatwa bado hazijawekwa wazi.

Maelezo haya ni kwa mujibu wa yeye Devotha Minja ambaye yupo mafichoni.

-----
Jeshi la Morogoro mjini, wamezingira ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Morogoro mjini, lengo likiwa nikumsubiri Devotha Minja wamkamate kabla ya kurudisha fomu, baada ya kupigwa simu na OCD akimtaka aripoti kituoni asubuhi hii.

Keshauza Jimbo kwa Abood maana kaona hana uwezo wa kushindana na Abood
 
Devota Minja mjanja Fulani Kuna tetesi alienda kutaka kuuza hiyo fomu alipwe akabidhi kwa mnunuzi Kisha asingizie kaporwa alipoona Takukuru wanafuatilia akaingia mitini
Ila we jamaa..!

Ni bingwa wa propaganda.

Hahahahahahahahaha....
Duh!
 
Mimi sielewi.Ni kwa Nini kurudisha form tume ya uchaguzi na kuhakiki taarifa, na kuteuliwa, imepangwa ifanyike kwa cku MOJA tu, Tena kwa masaa machache..Kwa Nini lisingefanyika hata kwa cku 2 ? Kujibana kote huku taabu ya nini, na kwa faida ya Nani ?
 
Maelezo ya kimbeya hayajitoshelezi wamekamatwa kwa sababu gani? Chadema mna uandishi Fulani hivi wa kipungufu akili mkiripoti kitu kiasi kuwa hata mjinga akisoma anaona wazi kuwa mleta mada kichwani Hana kitu

Andika vizuri sababu za kukamatwa na polisi ni nini
Kuna nini mpaka uhangaike na mjinga?, inawezekana wote ni walewale!
 
Huu mni upuuzi tuuu. Devota Minja sio wa kupambania nafasi ya Ubunge VS Abood. Wakati mwingine watu watafakari sio kukurupuka. Shame on her!!! Naanza kuamini juu ya kupata kitu kidogoooo!!! Ubaki salama dada!!!
 
Maelezo ya kimbeya hayajitoshelezi wamekamatwa kwa sababu gani? Chadema mna uandishi Fulani hivi wa kipungufu akili mkiripoti kitu kiasi kuwa hata mjinga akisoma anaona wazi kuwa mleta mada kichwani Hana kitu

Andika vizuri sababu za kukamatwa na polisi ni nini
Kusoma hujui au? Umeshaambiwa aliambiwa alipoti asubuhi police na waliyokamatwa hawajaambiwa sababu ya kukamatwa
 
Wewe jamaa huwa nimjinga sana, hivi unajisikia ufahari gani raia wenzako wanapopokonywa haki zao kisa vyama? Hivi na nafsi yako inafarajika kabisa kusikia wenzako wanakamatwa ili wasirudishe form? Kiukweli huwa najiuliza Wana CCM niraia wanchi gani, inawezekana sio Tz yetu iliyojaa upendo wanaoishi hawa viumbe.
[/QU

Achana naye huyo kichwani hamna kitu
 
Wewe jamaa huwa nimjinga sana, hivi unajisikia ufahari gani raia wenzako wanapopokonywa haki zao kisa vyama? Hivi na nafsi yako inafarajika kabisa kusikia wenzako wanakamatwa ili wasirudishe form? Kiukweli huwa najiuliza Wana CCM niraia wanchi gani, inawezekana sio Tz yetu iliyojaa upendo wanaoishi hawa viumbe.
Mkuu watu wenye tabia za unyani huyajali matumbo yao yajazwe si kujali maslahi ya kitaifa wala ustawi wa ndugu na jirani zao...
Mporomoko huoo...
 
Mimi sijakuelewa kabisa...

Devotha ameikimbia/toroka gari yake....

Amewakimbia polisi...

Walitaka kumteka...

Amesema akiwa mafichoni....

Polisi wamezingira ofisi za msimamizi wa uchaguzi kumvizia Devotha Minja wamkamate...

Alipigiwa simu na OCD, hakuitukia wito....

### Duuh, hii taarifa yako iko zigzag sana.....

### Inafahamika kuwa Devotha Minja ni mgombea Ubunge jimbo la Morogoro Mjini...

### Inafahamika kuwa leo ni siku ya urejeshaji fomu za uteuzi; Urais, Ubunge na Udiwani. Sasa hebu kuwa clear & specific;

å Kwa nini aliikimbia gari yake?

å Akaenda wapi alipokimbia?

å Kwanini polisi wanamtafuta? Na kwanini wambananishe siku ya kurejesha fomu?

å Yuko mafichoni. Na fomu zake nani atazirudisha?
 
Duuh tutashuhudia vipaji vya aina mbali mbali toka kwa wagombea this time around.
 
Tetesi karudisha form, ila kasahau kubandika passport size!!

Seriously, lazima tuamini zile habari, kishafika bei huyu!

#2020_Rungwe_my_president
#wali_kuku

Everyday is Saturday............................. 😎
 
Mwenyekiti wa timu ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Morogoro mjini kwa tiketi ya CHADEMA na dereva wa mgombea Ubunge wa Morogoro mjini Bi Devotha Minja wamekamatwa na Polisi muda huu huku mgombea huyo akisakwa baada ya kuwatoroka polisi.

Inadaiwa gari yake pia imekamatwa na ilikuwa ni katika harakati za kumteka ili asirejeshe fomu ya ugombea leo.

Aidha sababu za waliokamatwa bado hazijawekwa wazi.

Maelezo haya ni kwa mujibu wa yeye Devotha Minja ambaye yupo mafichoni.

-----
Jeshi la Morogoro mjini, wamezingira ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Morogoro mjini, lengo likiwa nikumsubiri Devotha Minja wamkamate kabla ya kurudisha fomu, baada ya kupigwa simu na OCD akimtaka aripoti kituoni asubuhi hii.

Huyu kapima maji kaona asidhalilike kwa kushindwa uchaguzi ndio maana kuchagua njia hii
 
CCM kila kukicha mnajisifu mmenunua mandege na kujenga flyover sasa mbona mmepanic na kuanza kuhujumu wagombea wa upinzani???
Haya ndiyo maajabu na Duniani kote wanashangaa hili inaelekea watanzania wamegundua miradi yote mikubwa ina ufisadi wa kutisha na wanufaika ni viongozi wa CCM ndiyo maana hawaitaki CCM chama cha kishetani
 
Mnajiteka halafu mnasingizia , punguzeni vitimbwi bwana uchaguzi uishe maisha yaendelee, mnatuchosha sana na utapeli wenu wa kisingizia uongo ili mtutoe kwenye amani.
Huu ujinga wa kutengeneza story za kifala kama hizi ndiyo umewafanya watanzania kuikataa CCM kwani wanaiona inafanya matukio kisha inajidai kuwasingizia kuwa ni chadema wenyewe, mbinu na propaganda za 1921 ujinga wa kizamani sana huu, hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atakaa kuamini huo ujinga wenu zaidi ya vilaza wachache wanaofugwa huko ccm na kule cuf Tawi la CCM.
 
Back
Top Bottom