Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Abood Kama huna uhusika katika hili nitakuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wasiwasi wenu ni nini hasa? Kwa maendeleo mliyoleta kweli? Au jamaa ameshashituka kuwa watu hawamuelewi, bila figisu figisu, itakuwa tabu.Huko mafichoni wanapokea fomu za kugombea ubunge?
Tume ipo kimyaaaa! Kama hawapo vile. Tume ingekuwa huru wangekomesha matukio hayo, kwa kuruhusu hao wagombea wanao hujumiwa kurudisha form na kukamilisha utaratibu nje ya muda ulotangazwa mwanzo. Time factor hawa wahuni wa CCM ndo wanayo cheza nayo........Yahani tunaonekana tusio starabika kabisa!.CCM bhana mbona wanafanya siasa za kitoto namna hii. inamaana kila Mgombea wa upinzani saivi anakasoro zinazopelekea kukamatwa, kutekwa au kupotezwa.
Wanahujumiwa au wanauza Fomu?Tume ipo kimyaaaa! Kama hawapo vile. Tume ingekuwa huru wangekomesha matukio hayo, kwa kuruhusu hao wagombea wanao hujumiwa kurudisha form na kukamilisha utaratibu nje ya muda ulotangazwa mwanzo. Time factor hawa wahuni wa CCM ndo wanayo cheza nayo........Yahani tunaonekana tusio starabika kabisa!.
Unajuwa naye ni mhanga wa awamu ya 5, alitekwa na wasojulikana.Halafu Mo anakuja kumpamba Magufuli kwenye tukio kubwa la Simba. Awaombe radhi wana Simba kwa kuwanasibisha na huyo jamaa.
Kwa uwakala wa polisi?Wanahujumiwa au wanauza Fomu?
Uliwaona wakifanya hup uwakala?Kwa uwakala wa polisi?
kama ujui umuhimu wa camera kama ushahidi kamili upo mbali na technologiaWatanzania bwana tunachekesha sana,yaani wengine wanatumia mapanga,mashoka,visu na mabunduki wewe unasuggest watumia makamera kurecord matukio,then wakisharecord wampelekee Nani? Kwa akili hizi mtauwawa sana
Hali ya utafutaji ni ngumu tangu jamaa aingie madarakani, lipo kundi la walio onewa wengi tu awamu hii, zipo sheria kandamizi nyingi tu awamu hii. Amini nakwambia Magufuli angeruhusu kupingwa ndani ya chama chake angepigwa chini huko huko chamani kwake.Hivi wasiwasi wenu ni nini hasa? Kwa maendeleo mliyoleta kweli? Au jamaa ameshashituka kuwa watu hawamuelewi, bila figisu figisu, itakuwa tabu.
kazi ya polisi ni kutiimaagizo ya ccmUliwaona wakifanya hup uwakala?
We uliwaona wakiuza?Uliwaona wakifanya hup uwakala?
Unaweza kuthibitisha hizi tuhuma zako?Devota Minja mjanja Fulani Kuna tetesi alienda kutaka kuuza hiyo fomu alipwe akabidhi kwa mnunuzi Kisha asingizie kaporwa alipoona Takukuru wanafuatilia akaingia mitini
Kama kuna CCM ataingia peponi nitaomba niende motoni kwa hiari"Sababu za polisi kutamka kumkamata hazijulikana" halafu Heche anasema polisi wanataka kumunyanganya fomu za kugombea ubunge!
Poor idiot!
Yanayotokea ni maigizo kumbe?CHADEMA wanatengeza uwongo mwiingi ili angalau wapate kura za huruma.
Kwani lazima arudishe yeye? Siwampe karibu arudishe, au keshaiuza? Akina Minja wanapenda hela sanaHuko mafichoni wanapokea fomu za kugombea ubunge?
Naunga mkono hojaKutokana na wimbi la wagombea wa upinzani kuwindwa na shetani kama swala ili watekwe au wauliwe huku viongozi wa dini na tume wakikaa kimya sababu wagombea wa CCM hawatekwi ni jukumu lao sasa wagombea wa upinzani kujihami binafsi na kurekodi matukio yote live watumie kofia,miwani,earphone, nguo zenye camera 360 degree warekodi kila kitu huku wakitembea na watu waliofully armed ili kujilinda endapo watafamiwa waweze kutoa fundisho ili wakamsimulie shetani aliyewatuma na sio kulalamika mnatekwa tekwa hovyo hovyo kirahisi tu kumbukeni mpo mawindoni sababu wanajua awatoboi kwenye sanduku.
Toeni funzo kama wananchi wa Ukara tembeeni hata na asidi atakaekugusa tu anayo ndo njia pekee ya kujihami,hatutaki watu wa kulialia safari hii.Rekodini matukio yote mrudishapo formu kama ushahidi na kuyarusha live watz wayaone.