Uchaguzi 2020 Morogoro: Mgombea ubunge wa CHADEMA Bi Devotha Minja awatoroka Polisi waliotaka kumkamata, gari lake lakamatwa

Uchaguzi 2020 Morogoro: Mgombea ubunge wa CHADEMA Bi Devotha Minja awatoroka Polisi waliotaka kumkamata, gari lake lakamatwa

uzuri wa watekaji awawateki cccm,hapo tume na viongozi wa dini wangeshapiga kelele
 
Devota Minja mjanja Fulani Kuna tetesi alienda kutaka kuuza hiyo fomu alipwe akabidhi kwa mnunuzi Kisha asingizie kaporwa alipoona Takukuru wanafuatilia akaingia mitini
Huwaga unajitoa ufahamu kama zuzu kabisa.
 
We jamaa huwa nimjinga sana, hivi unajisikia ufahari gani raia wenzako wanapopokonywa haki zao kisa vyama?. Hivi na nafsi yako inafarajika kabisa kusikia wenzako wanakamatwa ili wasirudishe form?. Kiukweli huwa najiuliza Wana CCM niraia wanchi gani, inawezekana sio Tz yetu iliyojaa upendo wanaoishi hawa viumbe.
Sio wanaCCM wote.
Ukichunguza ni wanaCCM madaraka na wanafamilia wanaomtetea ndugu yao kwa gharama yoyote.
Ni hatari sana kujaza ndugu na marafiki kwenye uongozi mana wanatoka nje ya Sheria na kujikuta wanahisia za kindugu na uchungu wa mwana. Sasa kwenye uongozi haifai mana mtu anayesimamia haki inayomhusu ndugu Mara nyingi anatoka nje ya kanuni na kutumia hisia zaidi.
 
Safi kabisa wagombea wote was upinzani muwe na plan za ulinzi za kutosha hivi sasa mnyonya damu wa kihutu anahamu kweli ya kumwaga damu .
 
Devota Minja mjanja Fulani Kuna tetesi alienda kutaka kuuza hiyo fomu alipwe akabidhi kwa mnunuzi Kisha asingizie kaporwa alipoona Takukuru wanafuatilia akaingia mitini
Empty head a.k.a tabulalasa very hopeless like a small donkey.
 
Polisi wanatekeleza maagizo... Tume ipo kimya...

Mbowe kwa nn asitoe tamko au kujibu mashambulizi kimyakimya...
Mbowe sio mpinzani nilishasema siku nyingi.
Yule ni kada wa CCM anayetumiwa na makundi ndani ya CCM hasa makundi ya Wafanyabiashara wanaochanganya siasa na biashara zao.
Usimtegemee Mbowe kwenye harakati za kweli za kuiangusha CCM. Kurudi kwa Lisu hakujamfurahisha sana Mbowe.
Ndio maana alichukua Form.
Mapokezi ya Lisu ndiyo yaliyomshtua sana na kukosa uelekeo kabisa mana hakutegemea kuwa kuna Mtu maarufu na anayependwa na watu kuliko yeye.

Kama Lisu asingerudi basi Mbowe angejiwekea Figisu ili apite kwenye nafasi ya kugombea Urais kisha kumwachia Membe wa ACT.
 
Lengo la CCM ni kufanya mambo ya Hovyo hovyo ili wapinzani wa kweli kama Chadema ya Lisu na ACT ya Maalim Seifu, wajitoe kwenye uchaguzi na kisha washinde kwa asilimia 98.88% na hiyo 1.2% iwe ni CUF na NCCR.
 

Mwenyekiti wa timu ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Morogoro mjini kwa tiketi ya CHADEMA na dereva wa mgombea Ubunge wa Morogoro mjini Bi Devotha Minja wamekamatwa na Polisi muda huu huku mgombea huyo akisakwa baada ya kuwatoroka polisi.

Inadaiwa gari yake pia imekamatwa na ilikuwa ni katika harakati za kumteka ili asirejeshe fomu ya ugombea leo.

Aidha sababu za waliokamatwa bado hazijawekwa wazi.

Maelezo haya ni kwa mujibu wa yeye Devotha Minja ambaye yupo mafichoni.

-----
Jeshi la Morogoro mjini, wamezingira ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Morogoro mjini, lengo likiwa nikumsubiri Devotha Minja wamkamate kabla ya kurudisha fomu, baada ya kupigwa simu na OCD akimtaka aripoti kituoni asubuhi hii.

Nadhani kamanda Siro ataliingilia kati hili ili kuzuia vurugu zisizo za lazima,akamatwe baada ya kurudisha fomu.akikamatwa sasa na kuzuiliwa kurudisha fomu hata kama ana makosa ma kesi ya kujibu ni bad timing politically Jeshi litaonekana linatumika.Au akamatwe lakini apewe ruhusa ya kurudisha fomu yake

Kingine ambacho sikijui hivi mtu hawezi rejeshewa fomu?
 
Ina maana Abood anamuogopa Devotha Minja?
Hivi Huyo mgombea wa Chama kikuu cha utawala yupo kwenye orodha ya makabila 120 ya kule Antananarivo ???
Nafikiri ni uelewa mdogo wa wapiga kura tu ila hakuna babu zao na mizumu ya huyo Mtu kule Kongo!!

Anawakiliswa na mafeza yake .
 
Hali ya utafutaji ni ngumu tangu jamaa aingie madarakani, lipo kundi la walio onewa wengi tu awamu hii, zipo sheria kandamizi nyingi tu awamu hii. Amini nakwambia Magufuli angeruhusu kupingwa ndani ya chama chake angepigwa chini huko huko chamani kwake.
Ndio maana hawajiamini!! Kwani ile amshaamsha ya lisu imewatia uoga, kuona kuwa, mbona kama licha ya kufanya siasa pekee yetu miaka mitano, lakini mbona kama hatujaeleweka!!
 
Ofisi za tume Manispaa ya Morogoro zimezingirwa na Polisi lengo ni Devota akitia mguu tu wamkamate kabla hajarudisha fomu ya uteuzi
Ofisi za tume Manispaa ya Morogoro zimezingirwa na Polisi lengo ni Devota akitia mguu tu wamkamate kabla hajarudisha fomu ya uteuzi
Mvalisheni dela la ccm na lemba kubwa, aningia anamalizana na msimamizi wakati raia wakakamavu wakishangaa!
 
Tume ipo kimyaaaa! Kama hawapo vile. Tume ingekuwa huru wangekomesha matukio hayo, kwa kuruhusu hao wagombea wanao hujumiwa kurudisha form na kukamilisha utaratibu nje ya muda ulotangazwa mwanzo. Time factor hawa wahuni wa CCM ndo wanayo cheza nayo........Yahani tunaonekana tusio starabika kabisa!.
Huu ni upumbavu wa wazi hata mtoto anautambua. yaani wanakera sana. kama wamefanya maendeleo si wasawazishe uwanja mechi ianze wao 5 wapinzani 0. ila hawajiamini wanategemea kubebwabebwa na Tume ya CCM ya uchaguzi
 
Maelezo ya kimbeya hayajitoshelezi wamekamatwa kwa sababu gani? Chadema mna uandishi Fulani hivi wa kipungufu akili mkiripoti kitu kiasi kuwa hata mjinga akisoma anaona wazi kuwa mleta mada kichwani Hana kitu

Andika vizuri sababu za kukamatwa na polisi ni nini
We mbwa ulijulia wapi kusoma?
 
Kwa nini hakwenda kulipoti polisi asubuhi kama alivyoelekezwa? Naona Lissu kawaambukiza kudharau vyombo vyetu na sisi watanzania.
 
Siku zote nasema vita nchini italetwa na ccm na vyombo vyake kwani haya wanayofanya ni kutangaza vita kwani wanapora haki za watu! Hivi kama ccm mnajinasibu mnapendwa kwanini mnafanya huu ushamba?
 
Back
Top Bottom