Uchaguzi 2020 Morogoro: Mgombea ubunge wa CHADEMA Bi Devotha Minja awatoroka Polisi waliotaka kumkamata, gari lake lakamatwa

Uchaguzi 2020 Morogoro: Mgombea ubunge wa CHADEMA Bi Devotha Minja awatoroka Polisi waliotaka kumkamata, gari lake lakamatwa

Mwenyekiti wa timu ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Morogoro mjini kwa tiketi ya CHADEMA na dereva wa mgombea Ubunge wa Morogoro mjini Bi Devotha Minja wamekamatwa na Polisi muda huu huku mgombea huyo akisakwa baada ya kuwatoroka polisi.

Inadaiwa gari yake pia imekamatwa na ilikuwa ni katika harakati za kumteka ili asirejeshe fomu ya ugombea leo.

Aidha sababu za waliokamatwa bado hazijawekwa wazi.

Maelezo haya ni kwa mujibu wa yeye Devotha Minja ambaye yupo mafichoni.
Mapolisi hayatumii akili, vichwani yamebebelea makamasi yenyewe yanafikri yamebeba ubongo!
 
Maelezo ya kimbeya hayajitoshelezi wamekamatwa kwa sababu gani? Chadema mna uandishi Fulani hivi wa kipungufu akili mkiripoti kitu kiasi kuwa hata mjinga akisoma anaona wazi kuwa mleta mada kichwani Hana kitu

Andika vizuri sababu za kukamatwa na polisi ni nini
Punguza jazba mkuu, mara 9 kati ya 10 sababu huwa wanapewa wakifika kituoni.
 
"Sababu za polisi kutamka kumkamata hazijulikana" halafu Heche anasema polisi wanataka kumunyanganya fomu za kugombea ubunge!

Poor idiot!
 
CHADEMA wanatengeza uwongo mwiingi ili angalau wapate kura za huruma.
 
Devota Minja mjanja Fulani Kuna tetesi alienda kutaka kuuza hiyo fomu alipwe akabidhi kwa mnunuzi Kisha asingizie kaporwa alipoona Takukuru wanafuatilia akaingia mitini
Maarage yanaeuka rukaga hivyo hivyo kama wewe, lakini moto ukikolea yanatuliaga!
 
"Sababu za polisi kutamka kumkamata hazijulikana" halafu Heche anasema polisi wanataka kumunyanganya fomu za kugombea ubunge!

Poor idiot!
Polis walipaswa kutumia busara, wangeruhusu akabidhi fomu, baada ya hapo wamshikilie.Kwa hili siro atawajibika
 
Polisi wanatekeleza maagizo... Tume ipo kimya...

Mbowe kwa nn asitoe tamko au kujibu mashambulizi kimyakimya...
I wonder why. Sio Mbowe tu, hata ACT naona nao wameungana na walalamishi wengine kuhusu wagombea wao kupokonywa fomu ama kutekwa kule Lindi. Ila wamekaa kimya tu as if kinachotendeka ni haki. Zitto toeni tamko kuhusu uhuni huu unaoendelea nchini wa kupokonyana fomu.
 
Back
Top Bottom