Uchaguzi 2020 Morogoro: Mgombea ubunge wa CHADEMA Bi Devotha Minja awatoroka Polisi waliotaka kumkamata, gari lake lakamatwa

Uchaguzi 2020 Morogoro: Mgombea ubunge wa CHADEMA Bi Devotha Minja awatoroka Polisi waliotaka kumkamata, gari lake lakamatwa

Ofisi za tume Manispaa ya Morogoro zimezingirwa na Polisi lengo ni Devota akitia mguu tu wamkamate kabla hajarudisha fomu ya uteuzi
 
kutokana na wimbi la wagombea wa upinzani kuwindwa na shetani kama swala ili watekwe au wauliwe huku viongozi wa dini na tume wakikaa kimya sababu wagombea wa CCM hawatekwi ni jukumu lao sasa wagombea wa upinzani kujihami binafsi na kurekodi matukio yote live watumie kofia,miwani,earphone, nguo zenye camera 360 degree warekodi kila kitu huku wakitembea na watu waliofully armed ili kujilinda endapo watafamiwa waweze kutoa fundisho ili wakamsimulie shetani aliyewatuma na sio kulalamika mnatekwa tekwa hovyo hovyo kirahisi tu kumbukeni mpo mawindoni sababu wanajua awatoboi kwenye sanduku.

Toeni funzo kama wananchi wa Ukara tembeeni hata na asidi atakaekugusa tu anayo ndo njia pekee ya kujihami,hatutaki watu wa kulialia safari hii.Rekodini matukio yote mrudishapo formu kama ushahidi na kuyarusha live watz wayaone.
Watanzania bwana tunachekesha sana,yaani wengine wanatumia mapanga,mashoka,visu na mabunduki wewe unasuggest watumia makamera kurecord matukio,then wakisharecord wampelekee Nani? Kwa akili hizi mtauwawa sana
 
Lazima tuwe na muafaka wa Kitaifa kwamba tunataka nini kama Watanzania.

Majadiliano ya pamoja yatatuweka huru iwapo yatakuwa na nia thabiti na ya kizalendo.

Kuna shida katika Taifa letu. Kama Watanzania, tuna kila sababu ya kujadiliana kwa pamoja kwa ajili ya Taifa na amani yetu na umoja na mshikamano.
Tatizo sio watanzania tatizo ni chama Cha Mapinduzi na serikali yake hi si ya kumung'unya bro. Chama kimekua chaki mafia
 
Tatizo sio watanzania tatizo ni chama Cha Mapinduzi na serikali yake hi si ya kumung'unya bro. Chama kimekua chaki mafia

Hicho chama nacho kimeundwa na Watanzania pia.

Kwa hiyo Watanzania ndiyo tatizo. Chama kipo kwenye makaratasi ya kumbukumbu
 
CCM kila kukicha mnajisifu mmenunua mandege na kujenga flyover sasa mbona mmepanic na kuanza kuhujumu wagombea wa upinzani???
 
Devota Minja mjanja Fulani Kuna tetesi alienda kutaka kuuza hiyo fomu alipwe akabidhi kwa mnunuzi Kisha asingizie kaporwa alipoona Takukuru wanafuatilia akaingia mitini
Hiyo ilishabuma tafta gia nyingine na mwaka huu mtanyooka tu machoko nyinyi
 
Hicho chama nacho kimeundwa na Watanzania pia.

Kwa hiyo Watanzania ndiyo tatizo. Chama kipo kwenye makaratasi ya kumbukumbu
Kaka mwenyekiti was CCM akiamua kukemea kwa jinsi anavyokubalika na kuheshimika unadhani haya maswala yangekuwepo leo??
Unajua ushawishi na mamlaka ya kiongozi wewe??
Ujue unazunguka mbuyu bro!
 
Polisi kameti wahalifu wote bila kujali Nafasi zao katika jamii..
Hatutaki Tanzania ya Wahuni Wahuni Sisi.
 
Tutaheshimiana tukipigana

Mtu mmoja ameuawa asubuhi hii na wengine wawili kufanikiwa kutoroka baada ya kujaribu kumteka mgombea udiwani wa kata ya Bwisha Ukara kwa tiketi ya CHADEMA.
 
Anza kurusha ngumi tukuone kwanza ili tukuige

Mtu mmoja ameuawa asubuhi hii na wengine wawili kufanikiwa kutoroka baada ya kujaribu kumteka mgombea udiwani wa kata ya Bwisha Ukara kwa tiketi ya CHADEMA.
 
Maelezo ya kimbeya hayajitoshelezi wamekamatwa kwa sababu gani? Chadema mna uandishi Fulani hivi wa kipungufu akili mkiripoti kitu kiasi kuwa hata mjinga akisoma anaona wazi kuwa mleta mada kichwani Hana kitu

Andika vizuri sababu za kukamatwa na polisi ni nini
Ndio uwalaumu polisi wa nchi hii kwa upumbav wao na kutofuata sheria!Imekuwa kawaida wapinzani kukamtwa bila kuambiwa wamekamatwa kwa sababu gani na kuswekwa ndani mpaka pale watakapojisikia!
 
Devota Minja mjanja Fulani Kuna tetesi alienda kutaka kuuza hiyo fomu alipwe akabidhi kwa mnunuzi Kisha asingizie kaporwa alipoona Takukuru wanafuatilia akaingia mitini
Pumbav zenu,unaona hiki ulichoandika kina mantiki?Unakaa ndani kutunga uongo kwa manufaa ya nani?Stupid
 
Maelezo ya kimbeya hayajitoshelezi wamekamatwa kwa sababu gani? Chadema mna uandishi Fulani hivi wa kipungufu akili mkiripoti kitu kiasi kuwa hata mjinga akisoma anaona wazi kuwa mleta mada kichwani Hana kitu

Andika vizuri sababu za kukamatwa na polisi ni nini
Hivi na wewe umesoma?
Hivi hujawahi kusikia mtu kakamatwa kwa sababu zisizojulikana
Japo ni kinyume cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai sura 20
 
Kwani mleta mada ndiyo OCD/OCS? Mnauliza maswali tenge kama watoto.
 
Moyo wa upendo
Moyo usio na hila
Nashindwa niandike nini naona Tanzania yangu ikitumbukia shimoni taratibu madaraka yasitufanye tukose utu
Siasa zitapita ila Tanzania itaendelea kubaki chuki tunayo ijenga Leo ni hatari sana kwa nini chama changu tunakuwa waoga kiasi hiki
 
Devotha Minja?!!!!!

😂😂😂😂

Haya Msiyemjua..........
 
Back
Top Bottom