Uchaguzi 2020 Morogoro: Mgombea ubunge wa CHADEMA Bi Devotha Minja awatoroka Polisi waliotaka kumkamata, gari lake lakamatwa

Uchaguzi 2020 Morogoro: Mgombea ubunge wa CHADEMA Bi Devotha Minja awatoroka Polisi waliotaka kumkamata, gari lake lakamatwa

Mnajiteka halafu mnasingizia , punguzeni vitimbwi bwana uchaguzi uishe maisha yaendelee, mnatuchosha sana na utapeli wenu wa kisingizia uongo ili mtutoe kwenye amani.
 
Halafu Mo anakuja kumpamba Magufuli kwenye tukio kubwa la Simba. Awaombe radhi wana Simba kwa kuwanasibisha na huyo jamaa.
 
CCM bhana mbona wanafanya siasa za kitoto namna hii. inamaana kila Mgombea wa upinzani saivi anakasoro zinazopelekea kukamatwa, kutekwa au kupotezwa.
Tume ipo kimyaaaa! Kama hawapo vile. Tume ingekuwa huru wangekomesha matukio hayo, kwa kuruhusu hao wagombea wanao hujumiwa kurudisha form na kukamilisha utaratibu nje ya muda ulotangazwa mwanzo. Time factor hawa wahuni wa CCM ndo wanayo cheza nayo........Yahani tunaonekana tusio starabika kabisa!.
 
Tume ipo kimyaaaa! Kama hawapo vile. Tume ingekuwa huru wangekomesha matukio hayo, kwa kuruhusu hao wagombea wanao hujumiwa kurudisha form na kukamilisha utaratibu nje ya muda ulotangazwa mwanzo. Time factor hawa wahuni wa CCM ndo wanayo cheza nayo........Yahani tunaonekana tusio starabika kabisa!.
Wanahujumiwa au wanauza Fomu?
 
Halafu Mo anakuja kumpamba Magufuli kwenye tukio kubwa la Simba. Awaombe radhi wana Simba kwa kuwanasibisha na huyo jamaa.
Unajuwa naye ni mhanga wa awamu ya 5, alitekwa na wasojulikana.
 
ccm ni chama cha kigaidi na hii ni serikali ya kishetani.......
 
Hawa jamaa wananishangaza sn yani.. wanaogopa uchaguzi utadhani ndege wamenunua CHADEMA😀😀
 
Watanzania bwana tunachekesha sana,yaani wengine wanatumia mapanga,mashoka,visu na mabunduki wewe unasuggest watumia makamera kurecord matukio,then wakisharecord wampelekee Nani? Kwa akili hizi mtauwawa sana
kama ujui umuhimu wa camera kama ushahidi kamili upo mbali na technologia
 
Hivi wasiwasi wenu ni nini hasa? Kwa maendeleo mliyoleta kweli? Au jamaa ameshashituka kuwa watu hawamuelewi, bila figisu figisu, itakuwa tabu.
Hali ya utafutaji ni ngumu tangu jamaa aingie madarakani, lipo kundi la walio onewa wengi tu awamu hii, zipo sheria kandamizi nyingi tu awamu hii. Amini nakwambia Magufuli angeruhusu kupingwa ndani ya chama chake angepigwa chini huko huko chamani kwake.
 
Devota Minja mjanja Fulani Kuna tetesi alienda kutaka kuuza hiyo fomu alipwe akabidhi kwa mnunuzi Kisha asingizie kaporwa alipoona Takukuru wanafuatilia akaingia mitini
Unaweza kuthibitisha hizi tuhuma zako?

Moderator huyu mtu akishindwa kuthibitisha lazima ahitajike
 
"Sababu za polisi kutamka kumkamata hazijulikana" halafu Heche anasema polisi wanataka kumunyanganya fomu za kugombea ubunge!

Poor idiot!
Kama kuna CCM ataingia peponi nitaomba niende motoni kwa hiari
 
Kutokana na wimbi la wagombea wa upinzani kuwindwa na shetani kama swala ili watekwe au wauliwe huku viongozi wa dini na tume wakikaa kimya sababu wagombea wa CCM hawatekwi ni jukumu lao sasa wagombea wa upinzani kujihami binafsi na kurekodi matukio yote live watumie kofia,miwani,earphone, nguo zenye camera 360 degree warekodi kila kitu huku wakitembea na watu waliofully armed ili kujilinda endapo watafamiwa waweze kutoa fundisho ili wakamsimulie shetani aliyewatuma na sio kulalamika mnatekwa tekwa hovyo hovyo kirahisi tu kumbukeni mpo mawindoni sababu wanajua awatoboi kwenye sanduku.

Toeni funzo kama wananchi wa Ukara tembeeni hata na asidi atakaekugusa tu anayo ndo njia pekee ya kujihami,hatutaki watu wa kulialia safari hii.Rekodini matukio yote mrudishapo formu kama ushahidi na kuyarusha live watz wayaone.
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom